Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kuna taarifa kuwa kuna gari aina ya SUV limechomwa moto na madereva boda boda maeneo ya Sakina.
Ikumbukwe kuwa hili linaweza kuwa tukio la pili la bodaboda wa maeneo hayo kuchoma gari.
My take:
Ikiwezekana Serikali ikifungie kijiwe husika cha bodaboda ili iwe fundisho dhidi ya uhuni huu.
Kukifungia kijiwe haiwezi kuwa suluhu kwakuwa wenye tabia hiyo watahama na kwenda kueneza mwenendo huo mahali pengine, dawa nikuwaweka ndani wajifunze adabu na kutii sheria