Tetesi: Bodaboda wachoma gari(SUV) Arusha



Kukifungia kijiwe haiwezi kuwa suluhu kwakuwa wenye tabia hiyo watahama na kwenda kueneza mwenendo huo mahali pengine, dawa nikuwaweka ndani wajifunze adabu na kutii sheria
 
Kukifungia kijiwe haiwezi kuwa suluhu kwakuwa wenye tabia hiyo watahama na kwenda kueneza mwenendo huo mahali pengine, dawa nikuwaweka ndani wajifunze adabu na kutii sheria
Hilo litakuwa funzo kwa kijiwe kingine ili waweze kufuata sheria
 
Semi utility vehicle

Post sent using JamiiForums mobile app
 
TATIZO NINI KWANI LAZIMA KUWE NA SHIDA HAPO SIO BURE

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huko sahihi kuuliza hivyo. Maana SUV's ziko variety nyingi sana, mfano Rav 4, Hilux, Mitsubishi, Honda, TLC ni.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kuna haja ya kuongeza risasi kwenye bastola.
 
Hilo litakuwa funzo kwa kijiwe kingine ili waweze kufuata sheria


Kumbuka ni haohao watahama na kwenda kwingine, kunachotakiwa kukomeshwa ni tabia ya hao waliofanya hayo
 
Hivi unajielewa kweli wewe?
Kama siijakosea SUV ni body shape ya gari! Inaweza kuwa toyota harrier,nissan murano,marcedes benz 500ml,au hata volkswagen tuareg! Japo Hatujui sana na wewe usijifanye unajua sana!
 
Sio tu ifunge kituo...iwafunge kabisa hqo...

Wanadhani gari ni makalio kila
mtu analo???

Boda boda awe na kosa asiwe na kosa wanachukua sheria mkononi
 
Kumbuka ni haohao watahama na kwenda kwingine, kunachotakiwa kukomeshwa ni tabia ya hao waliofanya hayo
wakihamia kwingine na wakafanya upuuzi huo kijiwe chao kinafungiwa.
kimsingi wanaofanya hivyo ni wachache na wanawachafua wengi waliojiajiri kwenye sekta hiyo.
 
Nimepita hilo eneo ni kwenye kona ya Elerai kweli kuna gari limeungua nahisi ni Toyota harrier

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Bado picha haijaweekwa!
 
nimewahi safiri 100km na bodaboda. wenye magari hawajali kabisa bodaboda. anaweza kuovertake bila kujali boda inakuja mbele. inabidi boda apishe kuingia pembeni. boda nao hawheshimu kama wapo kwenye chombo cha moto.
 
Bodaboda kote ni km hamnazo, sasa fikria tena awe ni bodaboda wa Arusha na ile bangi, ni balaah

Post sent using JamiiForums mobile app
Kwani BANGI bado ipo nchini mkuu???

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…