Bodaboda wamegeuka kuwa wezi na vibaka

Kuna jamaa yangu mmoja naye wife wake alitekwa na bodaboda. Shem ametoka benki akakuta boda wamepark hapo nje, akapanda jamaa moja kwa moja kwa masela. Anafika tu wakaanza kumsachi, wakachukua kila kitu na kumwacha hapo!
 
Serikali inapaswa iwe inatoa silaha sasa kwa watu wengi ili watu wapambane wenyewe uraiani...naamini tutaheshimiana na baadhi ya matukio yatakoma..

Iwekwe tu taratibu nyepesi nyepesi huko mitaani watu wafyatuane..
 
Muwakamate.Muachanishe vichwa vyao na viwiliwili vyao.Ila mzingatie,msiwaue tu!
 
pole Sana!
 
Kuweni na huruma na msamaha na watanzania wenzenu. Piano nao Wana familia
 
Pole mkuu...kama ni kwa dar hapa nakataa mana boda walio wengi wana vijiwe vyao...chimba chimba usikute shemela alikula vya watu hivyo wahuni wamejilipa kinamna hiyo.

Hizo za ndanindani kabisa mkuu [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Boda wengi ni wezi, ndio wachora raketi za wizi majumbani.
Ukiona boda inakuja nyuma yako kuwa attention Sana.
 
Wanawake ndio wateja wa bodaboda,safari ya kilomeyer moja mpaka boda boda acha aporwe huyo shemeji
 
Serikali inapaswa iwe inatoa silaha sasa kwa watu wengi ili watu wapambane wenyewe uraiani...naamini tutaheshimiana na baadhi ya matukio yatakoma..

Iwekwe tu taratibu nyepesi nyepesi huko mitaani watu wafyatuane..
Hiyo itasababisha maafa makubwa kuliko yaliyopo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…