Bodaboda wamegeuka kuwa wezi na vibaka

Bodaboda wamegeuka kuwa wezi na vibaka

Kuna jamaa yangu mmoja naye wife wake alitekwa na bodaboda. Shem ametoka benki akakuta boda wamepark hapo nje, akapanda jamaa moja kwa moja kwa masela. Anafika tu wakaanza kumsachi, wakachukua kila kitu na kumwacha hapo!
 
Serikali inapaswa iwe inatoa silaha sasa kwa watu wengi ili watu wapambane wenyewe uraiani...naamini tutaheshimiana na baadhi ya matukio yatakoma..

Iwekwe tu taratibu nyepesi nyepesi huko mitaani watu wafyatuane..
 
Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.

Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..

Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.

Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.

Pumbavu kabisa.
Muwakamate.Muachanishe vichwa vyao na viwiliwili vyao.Ila mzingatie,msiwaue tu!
 
Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.

Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..

Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.

Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.

Pumbavu kabisa.
pole Sana!
 
Halafu hizo documents wanaenda kuzitupa hovyo maana hawaujui umuhimu wake,mwaka 2005 nikiishi Mabibo wakati huo kwa marehemu binam yangu alinipa bahasha kwa msisitizo kabisa “hakikisha hupitii popote mpaka huu mzigo umeufikisha nyumbani” nimetoka pale yaani metre hamsini nifike home wakaja wajinga wakanikwara ile bahasha wakakimbia nayo kumbe zilikuwa receipts za ku-renew ada ya silaha yake na ilikuwa aziwasilishe kwa mamlaka husika kesho yake tarehe iliyofuata kabla ada ya mwanzo haijawa expired.

Aisee jamaa nilipompa hizi taarifa alinipiga vibao siku nne mbele nikaja kuiona ile bahasha imetupwa kwenye mtaro wa maji machafu huku nyuma jamaa ameshalipishwa fine,toka siku hiyo nikiona mwizi anapigwa wala simuonei huruma maana nazijua hasara zao zinavyouma.
Kuweni na huruma na msamaha na watanzania wenzenu. Piano nao Wana familia
 
Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.

Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..

Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.

Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.

Pumbavu kabisa.
Pole mkuu...kama ni kwa dar hapa nakataa mana boda walio wengi wana vijiwe vyao...chimba chimba usikute shemela alikula vya watu hivyo wahuni wamejilipa kinamna hiyo.

Hizo za ndanindani kabisa mkuu [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Boda wengi ni wezi, ndio wachora raketi za wizi majumbani.
Ukiona boda inakuja nyuma yako kuwa attention Sana.
 
Wanawake ndio wateja wa bodaboda,safari ya kilomeyer moja mpaka boda boda acha aporwe huyo shemeji
 
Serikali inapaswa iwe inatoa silaha sasa kwa watu wengi ili watu wapambane wenyewe uraiani...naamini tutaheshimiana na baadhi ya matukio yatakoma..

Iwekwe tu taratibu nyepesi nyepesi huko mitaani watu wafyatuane..
Hiyo itasababisha maafa makubwa kuliko yaliyopo sasa
 
Back
Top Bottom