Hicho kitu Ni kweli na naamini bodaboda walio wengi wanaofanya kazi hii mda mrefu niwastaarabu na Hao Hao huwakomesha Hawa vibaka wa kisingizio cha bodaboda sababu huharibu taswira nzima ya bodaboda..Mkuu kweny msafara wa mamba na kenge wamo, sio sahihi na sawa kuamua kuwatusi bodaboda wote kwa kosa au mapungufu ya watu wachache mi navojua hao unaowaita wezi sio bodaboda bali ni wezi na vibaka wanaiba kwa kutumia pikipiki maana sisi bodaboda wenyewe tunaipenda na kuiheshimu kazi yetu.
Kuna swali unaulizwa na wadau ili wajifunze kitu lakini unalikwepa.Naunga mkono hoja
Mwambie asiwe anapanda bodaboda au bajaji kabla hajanote namba, hasa usiku na kuzituma kwa mtu wa karibu,, na huyo boda ajue wazi kuwa amenote nambaKuna sehemu tulienda, kurudi ilibidi nimuache sehemu alipohitaji Mimi nikaendelea na safari zingine. Alikuwa mbali kidogo na ulingo wa maeneo ya nyumbani
Hakuna sehemu ya hatari kama kwenye geti ama mlangoni kwako,Bodaboda ni wezi sana. Kuna kisa nilisikia wanavizia magari yakiwa yanasubiri kuingia getini majumbani hasa mida ya usiku wanavamia. Kama hujalock mlango au kupandisha vioo imekula kwako.
Kuna video clip nliiona ya huko nje. Huyo mama aliingiza gari ndan mara kwa nyuma wakatokea wazee wa kazi na gari nyingine wakablock gate wakashuka na bastola wanamtishia afungue mlango. Yule mama alichofanya akarudi nyuma akaigonga ile gari ya majambazi. Wale watu walipigwa na butwaa na mama huyo akakazana kuigonga. Wale wezi wakakimbia wakaacha gari yaoHakuna sehemu ya hatari kama kwenye geti ama mlangoni kwako,
Inashauliwa unaporudi kwake macho yako yaaangalie angle zote kwa makini,
Getini kwako ndo mtu hata kama amekukosa kukupata sehemu zote, anajua kwako lazima urudi,,
Hivyo unaporudi kwako na unasubiri geti kufungulia macho yake yatakiwa kuwa busy mda wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Sawa bhana,sitii neno.Hapana.Watavichunguza tu na kuwarudishia.Wasiwaue.
Usikodishe bodaboda njiani,barabarani,kusiko na kituo Chao.Kodisha kwenye kituo Chao na hakikisha ni wa hapo,ndio maana vituo vya bodaboda,bajaji,Taxi,hawaruhusu kupaki hapo,kama hajasajiliwa na kujulikana,kwenye kituo Chao.Ukiibiwa au ukisahau kitu,unafatilia kwenye kituo Chao,na utamkuta au ukiulizia wenzake,watakupa taarifa zake.Au kodisha bodaboda,bajaj ,Taxi za uber,linkee,bolt,taxifyHaya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.
Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..
Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.
Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.
Pumbavu kabisa.
Chukua uber, bolt na kama hizo au unaye mfahamuHaya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.
Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..
Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.
Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.
Pumbavu kabisa.
Tumia bodaboda wa BoltPole mkuu.
Shem HANA BODABODA WAKE?
Polee msaidie hiyo simu waifunge. Ndugu wataibiwa sana wakijua ni mkeo.Msiwe na mawazo pindishi mda wote.
Hili jizi mpaka mda huu linatumia simu hiyo kutapeli watu kupitia namba zilizopo kwenye simu. Kwa kutuma ujumbe wa kitapeli..
Sema police kitengo cha cyber hamna kitu angekuwa ashakamatwa huyu