Bodaboda wamegeuka kuwa wezi na vibaka

Bodaboda wamegeuka kuwa wezi na vibaka

Wanakukwapua kwa nyuma au ubavuni Kisha wanakusukuma kwa nguvu Sana...utakapoangukia utajua wewe...

Sio wote lakini ukimkuta muhuni utajuta..
 
Pole mkuu...kama ni kwa dar hapa nakataa mana boda walio wengi wana vijiwe vyao...chimba chimba usikute shemela alikula vya watu hivyo wahuni wamejilipa kinamna hiyo.

Hizo za ndanindani kabisa mkuu [emoji39][emoji39][emoji39]
kama boda umemkuta njiani kijiwe atoe wapi
 
Kama sehemu sio mwenyeji na mida ni mibaya bora urequest bolt, hawa hawawezi kufanya ujinga.
Hata akifanya ujinga una pa kuanzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuweni na huruma na msamaha na watanzania wenzenu. Piano nao Wana familia
Tatizo hawaibi kwa akili,kuibiwa kupo ni timing ila inaudhi wanakuibia hata vitu ambavyo kwao havina muhimu ila kwako ni muhimu sana mwisho kuishia kuvitupa bora hata wangekuwa wana-act wema wamteuwe mmoja wao apeleke kituo cha polisi ajifanye ameokota police wautaarifu umma mwenyewe anaweza kusikia akaenda kuchukua.

Wakati fulani Dar yupo jamaa alitoa tangazo radioni akiwaomba waliomvunjia gari yake wakamuibia spare za gari yake na vitu vyake binafsi angalao warudishe bag lake lililokuwa na vitambulisho vyake vyote tena akatangaza kulipia tena kama watataka so kwa situation kama hii unaweza kuona wezi wanavyorostisha vibaya.
 
Muulize vizuri mkeo,kuna kitu kakuficha.
 
Kuweni na huruma na msamaha na watanzania wenzenu. Piano nao Wana familia
Rule #1,unapotaka kupata usafiri wa boda boda
Usisimamishe ambayo inapita juu kwa juu
Tatizo watu wamekariri kila wakimuona mtu yuko na pikipiki basi ni bodaboda
Watu wanatakiwa wajizoeshe kutumia boda zilizopaki kijiweni,hata jambo likitokea kwa mtu unanzia kijiweni alipopaki

Ova
Kuweni na huruma na msamaha na watanzania wenzenu. Piano nao Wana familia
 
Serikali inapaswa iwe inatoa silaha sasa kwa watu wengi ili watu wapambane wenyewe uraiani...naamini tutaheshimiana na baadhi ya matukio yatakoma..

Iwekwe tu taratibu nyepesi nyepesi huko mitaani watu wafyatuane..
Naunga mkono hoja
 
Muulize vizuri mkeo,kuna kitu kakuficha.
Msiwe na mawazo pindishi mda wote.

Hili jizi mpaka mda huu linatumia simu hiyo kutapeli watu kupitia namba zilizopo kwenye simu. Kwa kutuma ujumbe wa kitapeli..

Sema police kitengo cha cyber hamna kitu angekuwa ashakamatwa huyu
 
Serikali inapaswa iwe inatoa silaha sasa kwa watu wengi ili watu wapambane wenyewe uraiani...naamini tutaheshimiana na baadhi ya matukio yatakoma..

Iwekwe tu taratibu nyepesi nyepesi huko mitaani watu wafyatuane..
Utaanza wewe kuuawa au ndugu yako au mwanao.
 
Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.

Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..

Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document kadhaaa.

Ni bora hata wangechukua pesa na simu wakaacha hizo document. Hii mijinga ndio maana huwa inachomwa moto.

Pumbavu kabisa.
Pole sana
 
Pole sana Mkuu
 
Serikali inapaswa iwe inatoa silaha sasa kwa watu wengi ili watu wapambane wenyewe uraiani...naamini tutaheshimiana na baadhi ya matukio yatakoma..

Iwekwe tu taratibu nyepesi nyepesi huko mitaani watu wafyatuane..
Shehe tutageuka afrika ya kusini mda Si mrefu wakiruhusu hivo vitu
 
Mkuu kweny msafara wa mamba na kenge wamo, sio bodaboda wote mi navojua hao unaowaita bodaboda sio bodaboda bali ni wezi na vibaka wanaoiba kwa kutumia pikipiki maana sisi bodaboda wenyewe tunaipenda na kuiheshimu kazi yetu.
 
Back
Top Bottom