Bodaboda wamekuwa msaada sana kwa watu wanaohitaji msaada

Bodaboda wamekuwa msaada sana kwa watu wanaohitaji msaada

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Hawa bodaboda wengi tunaowadharau wamekuwa msaada sana. Tumeona kwa Abdul Nondo na yule mama wa Chadema hata yule naibu waziri alipata ajali na mchepuko akimkimbia mke wake baada ya kufumaniwa.

Mifano ni mingi tu boda boda wakihusika kama wasamaria wema.

Mungu wabariki bodaboda.
 
Back
Top Bottom