ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Bodaboda hesabu ni 7000 kwa siku akiamuka mapema akajihimu asubuhi Mpaka kufikia saa 4 ashafikisha hata 10000 mchana na usiku ana weza kufikisha 30000.
Kama akicheza michezo yao ile ya kuwekeana hela kwa mwaka ana weza kununua bodaboda nyingine mbili ambazo ataajiri watu wengine.
Bodaboda baadhi ni Wezi au wengi ni Wezi wanalalamikiwa kuiba Mpaka wake za watu. Bodaboda wawe wa kweli wasiwe maagent wa umalaya kuvusha mizigo haramu.
Watu wengi hatujui serikali ni kwa vipi hukusanya maokoto kutoka kwa bodaboda. Ni kazi ya kufanya kila siku ama unaweza kupumzika ikikuangusha.
Bodaboda wasajiliwe RASMI kama biashara RASMI kabisa ambayo inaweza kuchangia mapato wakiwekewa mazingira mazuri.