Bodaboda wasajiliwe kama biashara rasmi wakiwekewa mazingira mazuri

Bodaboda wasajiliwe kama biashara rasmi wakiwekewa mazingira mazuri

Bodaboda hesabu ni 7000 Kwa siku akiamuka mapema akajihimu asubuhi Mpaka kufikia saa 4 ashafikisha hata 10000 mchana na usiku ana weza kufikisha 30000.
Kama akicheza michezo yao ile ya kuwekeana hela Kwa mwaka ana weza kununua bodaboda nyingine mbili ambazo ataajiri watu wengine.

Bodaboda baadhi ni Wezi au wengi ni Wezi wanalalamikiwa kuiba Mpaka wake za watu. Bodaboda wawe wa kweli wasiwe maagent wa umalaya kuvusha mizigo haramu.

Watu wengi hatujui ni serikali ni kwa vipi hukusanya maokoto kutoka kwa bodaboda. Ni kazi ya kufanya kila siku ama unaweza kupumzika ikikuangusha.

Bodaboda wasajiliwe RASMI kama biashara RASMI kabisa ambayo inaweza kuchangia mapato wakiwekewa mazingira mazuri.
Boda boda ata ukiwa yako kufikisha hesabu ya 20 per day ni kipengere boda boda anayeingiza 30 niboda mzoefu ila nakubaliana na wewe boda boda wengi hawana future nakupata utajiri nawaona kwenye mabar wamekuwa wanapendwa wa mabamaid sababu sio wabahiri wakufanya matumizi wakipata pesa
 
Bodaboda hesabu ni 7000 kwa siku akiamuka mapema akajihimu asubuhi Mpaka kufikia saa 4 ashafikisha hata 10000 mchana na usiku ana weza kufikisha 30000.

Kama akicheza michezo yao ile ya kuwekeana hela kwa mwaka ana weza kununua bodaboda nyingine mbili ambazo ataajiri watu wengine.

Bodaboda baadhi ni Wezi au wengi ni Wezi wanalalamikiwa kuiba Mpaka wake za watu. Bodaboda wawe wa kweli wasiwe maagent wa umalaya kuvusha mizigo haramu.

Watu wengi hatujui serikali ni kwa vipi hukusanya maokoto kutoka kwa bodaboda. Ni kazi ya kufanya kila siku ama unaweza kupumzika ikikuangusha.

Bodaboda wasajiliwe RASMI kama biashara RASMI kabisa ambayo inaweza kuchangia mapato wakiwekewa mazingira mazuri.
Naendelea kutafakari....inatafakarisha
 
Back
Top Bottom