Bodaboda waungana na mbunge Patrick Mwalunenge, wako tayari kutoa shilingi elfu moja moja kwaajili ujenzi wa barabara

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amependekeza kila mwendesha bodaboda nchini achangie shilingi 1,000, hatua ambayo imeendelea kuzua mjadala bungeni na miongoni mwa wadau mbalimbali.

Baadhi ya wabunge wamekosoa pendekezo hilo wakidai kuwa linaweza kuwa mzigo kwa waendesha bodaboda, huku wengine wakilitafsiri kwa mtazamo wa kisiasa.

Hata hivyo, viongozi na wadau wa sekta ya usafirishaji wa bodaboda wameunga mkono hoja hiyo wakisema kuwa inaweza kuwa na manufaa makubwa kwa waendesha bodaboda nchini.

Kwa mujibu wa wadau hao, utekelezaji wa mpango huo unaweza kusaidia kukusanya mtaji wa kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo na uwekezaji kwa manufaa ya waendesha bodaboda.

Wamesema kuwa fedha zitakazokusanywa zinaweza kuwawezesha waendesha bodaboda kujikwamua kiuchumi, kuimarisha shughuli zao za usafirishaji na kuongeza ustawi wao kwa ujumla.

Soma Pia:
Aidha, wadau hao wamewataka Watanzania kulitazama pendekezo hilo kwa mapana zaidi na kuzingatia faida zinazoweza kupatikana badala ya kulichukulia kwa mtazamo wa kisiasa pekee.

Mjadala kuhusu pendekezo hilo unaendelea huku wadau wakisubiri hatua zaidi kuhusu namna ambavyo wazo hilo litafanyiwa kazi kwa manufaa ya sekta ya bodaboda nchini.

Hao bodaboda waliokubali wameshaingizwa kingi/kununuliwa kwa sound.Kazi njema!
 
ujinga tupu hizo fedha ama kitita zitasimamiwa na nani?
Bora angesema wabunge wakatwe kwa kila kikao Cha bunge Tsh 10000/- binafi ningeelewa
 
Ujinga ni mtaji kwa wanasiasa!!

Wanaotajwa kupiga pesa kwenye reports za CAG adhabu ni watajwe hadharani ili waone aibu!😀
 
Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amependekeza kila mwendesha bodaboda nchini achangie shilingi 1,000, hatua ambayo imeendelea kuzua mjadala bungeni na miongoni mwa wadau mbalimbali.

Baadhi ya wabunge wamekosoa pendekezo hilo wakidai kuwa linaweza kuwa mzigo kwa waendesha bodaboda, huku wengine wakilitafsiri kwa mtazamo wa kisiasa.

Hata hivyo, viongozi na wadau wa sekta ya usafirishaji wa bodaboda wameunga mkono hoja hiyo wakisema kuwa inaweza kuwa na manufaa makubwa kwa waendesha bodaboda nchini.

Kwa mujibu wa wadau hao, utekelezaji wa mpango huo unaweza kusaidia kukusanya mtaji wa kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo na uwekezaji kwa manufaa ya waendesha bodaboda.

Wamesema kuwa fedha zitakazokusanywa zinaweza kuwawezesha waendesha bodaboda kujikwamua kiuchumi, kuimarisha shughuli zao za usafirishaji na kuongeza ustawi wao kwa ujumla.

Soma Pia:
Aidha, wadau hao wamewataka Watanzania kulitazama pendekezo hilo kwa mapana zaidi na kuzingatia faida zinazoweza kupatikana badala ya kulichukulia kwa mtazamo wa kisiasa pekee.

Mjadala kuhusu pendekezo hilo unaendelea huku wadau wakisubiri hatua zaidi kuhusu namna ambavyo wazo hilo litafanyiwa kazi kwa manufaa ya sekta ya bodaboda nchini.

Barabara za Tz si supportive kwa hao waendesha pikipiki. Kwa hiyo kama michango yao haiendi kuboresha chochote katika eneo hilo juhudi zao zitakuwa as good as loss.
 
Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amependekeza kila mwendesha bodaboda nchini achangie shilingi 1,000, hatua ambayo imeendelea kuzua mjadala bungeni na miongoni mwa wadau mbalimbali.

Baadhi ya wabunge wamekosoa pendekezo hilo wakidai kuwa linaweza kuwa mzigo kwa waendesha bodaboda, huku wengine wakilitafsiri kwa mtazamo wa kisiasa.

Hata hivyo, viongozi na wadau wa sekta ya usafirishaji wa bodaboda wameunga mkono hoja hiyo wakisema kuwa inaweza kuwa na manufaa makubwa kwa waendesha bodaboda nchini.

Kwa mujibu wa wadau hao, utekelezaji wa mpango huo unaweza kusaidia kukusanya mtaji wa kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo na uwekezaji kwa manufaa ya waendesha bodaboda.

Wamesema kuwa fedha zitakazokusanywa zinaweza kuwawezesha waendesha bodaboda kujikwamua kiuchumi, kuimarisha shughuli zao za usafirishaji na kuongeza ustawi wao kwa ujumla.

Soma Pia:
Aidha, wadau hao wamewataka Watanzania kulitazama pendekezo hilo kwa mapana zaidi na kuzingatia faida zinazoweza kupatikana badala ya kulichukulia kwa mtazamo wa kisiasa pekee.

Mjadala kuhusu pendekezo hilo unaendelea huku wadau wakisubiri hatua zaidi kuhusu namna ambavyo wazo hilo litafanyiwa kazi kwa manufaa ya sekta ya bodaboda nchini.

Boda Boda wa mchongo hao.
 
"Hata hivyo, viongozi na wadau wa sekta ya usafirishaji wa bodaboda wameunga mkono hoja hiyo wakisema kuwa inaweza kuwa na manufaa makubwa kwa waendesha bodaboda nchini.

Kwa mujibu wa wadau hao, utekelezaji wa mpango huo unaweza kusaidia kukusanya mtaji wa kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo na uwekezaji kwa manufaa ya waendesha bodaboda.

Wamesema kuwa fedha zitakazokusanywa zinaweza kuwawezesha waendesha bodaboda kujikwamua kiuchumi, kuimarisha shughuli zao za usafirishaji na kuongeza ustawi wao kwa ujumla".

Mbona mnasema ni za kujengea barabara? Hayo ya miradi, kujikwamua kiuchumi na huo ustawi zitakua pesa hizohizo au zingine? Chawa wa chama wanakosa ufahamu sana wa basics yani, wakimezeshwa script wanatapika tu
 
Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amependekeza kila mwendesha bodaboda nchini achangie shilingi 1,000, hatua ambayo imeendelea kuzua mjadala bungeni na miongoni mwa wadau mbalimbali.

Baadhi ya wabunge wamekosoa pendekezo hilo wakidai kuwa linaweza kuwa mzigo kwa waendesha bodaboda, huku wengine wakilitafsiri kwa mtazamo wa kisiasa.

Hata hivyo, viongozi na wadau wa sekta ya usafirishaji wa bodaboda wameunga mkono hoja hiyo wakisema kuwa inaweza kuwa na manufaa makubwa kwa waendesha bodaboda nchini.

Kwa mujibu wa wadau hao, utekelezaji wa mpango huo unaweza kusaidia kukusanya mtaji wa kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo na uwekezaji kwa manufaa ya waendesha bodaboda.

Wamesema kuwa fedha zitakazokusanywa zinaweza kuwawezesha waendesha bodaboda kujikwamua kiuchumi, kuimarisha shughuli zao za usafirishaji na kuongeza ustawi wao kwa ujumla.

Soma Pia:
Aidha, wadau hao wamewataka Watanzania kulitazama pendekezo hilo kwa mapana zaidi na kuzingatia faida zinazoweza kupatikana badala ya kulichukulia kwa mtazamo wa kisiasa pekee.

Mjadala kuhusu pendekezo hilo unaendelea huku wadau wakisubiri hatua zaidi kuhusu namna ambavyo wazo hilo litafanyiwa kazi kwa manufaa ya sekta ya bodaboda nchini.

Mh mbunge feki umekuja kupima upepo kwa Wana jamiii Nini?
 
Back
Top Bottom