Bodaboda wazuri mjini Bunda

jaffari odhiambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
526
Reaction score
13
Hawa ndio madereva pikipiki/Toyo wazuri kwa uendeshaji tena waaminifu.

Wanapatikana katika wilaya ya Bunda mkoani Mara.

Vijana hawa wanapaki mtaa wa baisikeli nyuma ya soko kuu karibu na duka la Nyamongo Hardware. Kwa mawasiliano zaidi wanapatikana kwa namba zifuatazo : 0788043177, 0768215677, 0682819436, 0765751413, 0753183313 na 0753216886.

Muda wowote ukipiga unawapata.Hata ukiwa mgeni ukifika Bunda piga moja kati ya hizo namba ili upate usafiri wa uhakika maana wana mwendo mzuri kwa sababu abiria anaendeshwa kwa speed anayotaka yeye abiria.

Karibuni sana kwa usafiri wauhakika. Piga simu mda wowote ila kazi wanafunga kuanzia saa 2:30 usiku.

Thank you in advance.
 
jaffari yogo
ambe mwanawasu chakungwa siga ndabhabhumile munsile yika
 
Last edited by a moderator:
jaffari yogo
Wazo zuri la Marketing lakini mngeback tangazo lenu na kusajiliwa na ofisi rasmi ya serikali kama serikali ya mitaa n.k, watu wanaogopa kukabwa na kuibiwa na bodaboda na si mwendo peke yake.
 
Last edited by a moderator:
Katika kijiwe hiki hakuna hiyo tabia ya kuibia wateja naomba muwe na amani kabisa maana wote ni waaminifu.
 
Hawa bodaboda kweli ni wazuri na wanayo kauli nzuri ya biashara kwa wateja wao.
 
Jamani ndugu zangu, tunaomba heshima iwepo hatukuweka hizo namba kwa ajili ya kupimwa akili maana kuna mtu mmoja anakuwa anapiga simu kwetu kuwa yeye ni abiria halafu ukienda humuoni. Huo sio ustaarabu namba zake ni 0754568201 na jina lake ni RUTUFI ABUBAKARI. Heshima iwepo jamani tupo kwa ajili ya biashara sio matani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…