Bodi bodi.... Bodi jamani

Bodi bodi.... Bodi jamani

MBORROW

Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
13
Reaction score
0
Hivi jamani watanzania utaratibu huu wa mpya wa bodi unakidhi haja ya wanavyuo?
 
bodi wameshindwa kaz.bora waache kabisa maana watachafua nchi sio mda mrefu.hakuna m2 anayependa kuonewa
 
Hivi jamani watanzania utaratibu huu wa mpya wa bodi unakidhi haja ya wanavyuo?

Mkuu, nivizuri kueleza ni utaratibu gani ili watu wachangie maana wengine walishatoka ktk system.
 
Hoja yako haina maana yoyote so tukueleweje elezea kwa kina
 
Unafikiri kila mtu anajua bodi ya mikopo bana?
Elezea kidogo, tatizo ni nini hasa.
 
tatzo bodi na tume zimekua nyingi, wiz mtupu, viongoz wanachekacheka 2 utadhan wamewekewa motor!.....
 
Kuna issue fulan ya fedha za mikopo kupelekwa kwenye mikono ya wahasibu wa vyuoni na wanafunzi kuzichukua kwa kupanga folen badala kuwekewa kwenye a/c zao.Mi najiuliza kwamba je wahasibu hawatategeka kukimbia na rundo la hela hususan kwenye vyuo vinavyochukua wanafunzi wengi kama UDOM?
 
wory not sheria zipo if zey attempt zey gona b held liable
 
Utendaji wa bodi ni mzuri, ila tatizo bajeti inabana.
 
Kuna issue fulan ya fedha za mikopo kupelekwa kwenye mikono ya wahasibu wa vyuoni na wanafunzi kuzichukua kwa kupanga folen badala kuwekewa kwenye a/c zao.Mi najiuliza kwamba je wahasibu hawatategeka kukimbia na rundo la hela hususan kwenye vyuo vinavyochukua wanafunzi wengi kama UDOM?

hivi una umri gani, unauliza maswali ya kijinga namna hii?
 
Back
Top Bottom