Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
-Bodi ha Ligi ya Tanzania Bara imeahirisha mechi tatu zinazohusu vilabu vya Simba, Yanga na Azam ili kupisha maandalizi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo inatarajia kuingia kambini November 04 kujiandaa na mchezo wa kufuzu kwa fainali za kombe la mataifa Africa (AFCON 2019) dhidi ya Lesotho November 18 ugenini.
-Mechi zilizoairishwa ni mechi namba 135 kati ya African Lyon dhidi ya Yanga SC iliyokuwa imepangwa kuchezwa November 07, mchezo namba 139 kati ya Simba Sc dhidi ya KMC uliopangwa kuchezwa November 08 na mchezo namba 140 kati ya Azam Fc dhidi ya Mbao uliokuwa uchezwe November 08.