Tetesi: Bodi ya kampuni ya twitter imekubali usd bilion 44 za Elon kuchukua kampuni hiyo.

Tetesi: Bodi ya kampuni ya twitter imekubali usd bilion 44 za Elon kuchukua kampuni hiyo.

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Hizi tetesi zilikuwa kama kweli ila zimekuwa kweli sasa kama wamekubali.
bodi ya twitter imekubali sasa kwa dau hilo na sasa itakuwa mikononi mwa Elon .

kumbuka Elon musk aliingia kama share na sasa anaingia kamili.

IMG_6350.jpg
 
BREAKING: Tesla CEO and billionaire Elon Musk has reached a deal to purchase Twitter for about $44 billion, the social media company said.
IMG_6351.jpg
 
Hizi tetesi zilikuwa kama kweli ila zimekuwa kweli sasa kama wamekubali.
bodi ya twitter imekubali sasa kwa dau hilo na sasa itakuwa mikononi mwa Elon .

kumbuka Elon musk aliingia kama share na sasa anaingia kamili.

View attachment 2200510
Huyu jamaa sio siku nyingi watu watamshtukia 😀😀
Soon tutaanza kuona matangazo ya dodge coin
Sema jamaa ana mikakati na ni ambitious na anatoa makavu kwa yoyote niliona amempa makavu hata Billgates Chief-Mkwawa
Naona baada ya deal kuwa confirmed thamani ya dodge coin imepanda kwa 20%
 
Wataalam wa uchumi twambieni uyo Elon musk atairudishaje pesa yake wkt app yenyewe sisi wadau tunaitumia bure TU[emoji848]
Hivi Twitter haina Ads kama Facebook. Maana biashara yao kubwa ni matangazo na yanawaingizia pesa ndefu sana.
Pia data zenu wanazokusanya ni mtaji
 
Back
Top Bottom