Tetesi: Bodi ya kampuni ya twitter imekubali usd bilion 44 za Elon kuchukua kampuni hiyo.

Tetesi: Bodi ya kampuni ya twitter imekubali usd bilion 44 za Elon kuchukua kampuni hiyo.

Tutarajie mapinduzi makubwa.
Kila nikimuona Elon nawaona maelfu ya geneus wa kiafrika na na ulimwengu wa tatu vipaji vyao vikifia Afrika nk. Bila Elon kujiongeza kuhama Afrika pengine angekuwa mchimba madini SA au mfanyabiashara wa kawaida huko kwa makaburu au ndani ta Afrika.
 
Back
Top Bottom