Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Moja ya mambo yanayochosha soka la Bongo wakati mwingine ni utendaji wa Bodi ya Ligi, bodi ina mapungufu mengi sana lakini kwa vile tumeamua kuendesha mambo kishikaji tunakwenda tu.
We hadi leo jamaa hawana ratiba inayoeleweka ya Ligi Kuu, ujanja ujanja mwingi. Nimesikitika sana eti kuanzia sasa Afisa Habari atakayefanya Comedy ataadhibiwa.
Yaani Bodi ya Ligi kweli mmekaa mkaona hiyo ni agenda ya kuwaambia wanamichezo kweli?
We Almasi hujioni kuwa ni mchekeshaji namba moja kwa mambo yanayofanywa na Bodi? Lipi hasa la maana unalolifanya ndani ya Bodi hadi watu wakukumbuke wewe.Lipi?
Wewe ndio unatakiwa uchukuliwe hatua kabisa kwa kuchekesha na sio hao Maafisa Habari.
Soma Pia: Ili ligi yetu iwe bora na ya kuvutia TFF na Bodi ya ligi inapaswa kushughulika na haya yafuatayo