Bodi ya Ligi inahitaji Mtendaji Mkuu Kijana, Almasi Kasongo hana jipya

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Moja ya mambo yanayochosha soka la Bongo wakati mwingine ni utendaji wa Bodi ya Ligi, bodi ina mapungufu mengi sana lakini kwa vile tumeamua kuendesha mambo kishikaji tunakwenda tu.

We hadi leo jamaa hawana ratiba inayoeleweka ya Ligi Kuu, ujanja ujanja mwingi. Nimesikitika sana eti kuanzia sasa Afisa Habari atakayefanya Comedy ataadhibiwa.

Yaani Bodi ya Ligi kweli mmekaa mkaona hiyo ni agenda ya kuwaambia wanamichezo kweli?

We Almasi hujioni kuwa ni mchekeshaji namba moja kwa mambo yanayofanywa na Bodi? Lipi hasa la maana unalolifanya ndani ya Bodi hadi watu wakukumbuke wewe.Lipi?

Wewe ndio unatakiwa uchukuliwe hatua kabisa kwa kuchekesha na sio hao Maafisa Habari.

Soma Pia: Ili ligi yetu iwe bora na ya kuvutia TFF na Bodi ya ligi inapaswa kushughulika na haya yafuatayo

FZO9qJDXoAAuxw5.jpg
 
wewe uliye fungua huu uzi akili huna. kichwani matope.

mzee yupo vizuri sana. na ni perfect candidate kwa ligi yetu.

he has experience and he is surrounded with perfect people wewe na vichaa wenzako. ndo mna matatizo.
 
We hutaki Wafanya Komedi Kwenye Soka waadhibiwe..?

Mimi ndo ningekuwa huko, Sio Kuwaadhibu tu Kwa kumfungia tu mtu Miaka 2 .... Yaaani ningewafungia Maisha, Warudi tena Kwenye Kifungo..

Yaaani mtu abadlishe Mapenzi Kwenye Soka kbs....anaweza kushabikia hata drafti au Bao..! Nayo ni michezo
 
Aliwashinda alina nani kwenye intaview huyo jamaa?
 
Tatizo ni vilabu vya mpira, Bodi ni yao Ila wqnakubali Karia kiwateulia kiongozi anayemtaka.
Hii nafasi ilitakiwa itangazwe na watu wajitokeze lakini imekuwa Kama nafasi ya kudumu.
 
Tatizo vilabu haviwapi nafasi vijana kuwa watendaji wakuu, hio nafasi yake inatokana na kigezo mama cha kuwa mtendaji mkuu wa kilabu kilichopo ligi kuu. Ila vijana wenyewe walivyo much know kama kina Biko Skanda, sidhani kama watapewa hizo nafasi nyeti zinazotaka utashi mkubwa, busara na hekima kwenye utendaji kuliko uwezo mkubwa wa utendaji.
 
Tatizo ni vilabu vya mpira, Bodi ni yao Ila wqnakubali Karia kiwateulia kiongozi anayemtaka.
Hii nafasi ilitakiwa itangazwe na watu wajitokeze lakini imekuwa Kama nafasi ya kudumu.
Unajua utaratibu wa kupatikana kwa CEO wa board ya league au umeamua kuruka na Karia tu.?
 
Moja ya mambo yanayochosha soka la Bongo wakati mwingine ni utendaji wa Bodi ya Ligi, bodi ina mapungufu mengi sana lakini kwa vile tumeamua kuendesha mambo kishikaji tunakwenda tu.

We hadi leo jamaa hawana ratiba inayoeleweka ya Ligi Kuu, ujanja ujanja mwingi. Nimesikitika sana eti kuanzia sasa Afisa Habari atakayefanya Comedy ataadhibiwa.

Yaani Bodi ya Ligi kweli mmekaa mkaona hiyo ni agenda ya kuwaambia wanamichezo kweli?

We Almasi hujioni kuwa ni mchekeshaji namba moja kwa mambo yanayofanywa na Bodi? Lipi hasa la maana unalolifanya ndani ya Bodi hadi watu wakukumbuke wewe.Lipi?

Wewe ndio unatakiwa uchukuliwe hatua kabisa kwa kuchekesha na sio hao Maafisa Habari.

Soma Pia: Ili ligi yetu iwe bora na ya kuvutia TFF na Bodi ya ligi inapaswa kushughulika na haya yafuatayo

Jamaa anafanana na Janabi.
 
Babukachkkaa mpakaqq basiii sijui anajua anachoongeaqq hatamsemaji n feki ratiba feki
 
Niambie Kama hiyo nafasi iliwahi kutangazwa na wakashindanishwa watu.
Umepaniki sababu nimegusa eneo la maslahi yako
Why should i panick..?
Sasa hujui na ushashupaza shingo, kubali kujifunza kama kitu hukijui. Ujinga sio kilema, unaweza kufutwa/kufutika.
 
Utakuwa ni wale wanaonufaika na uwepo wake, Kati ya Mimi na wewe nani amepanick badala ya kujadili hoja unarukia maelezo mengine.
 
Moja ya mambo yanayochosha soka la Bongo wakati mwingine ni utendaji wa Bodi ya Ligi, bodi ina mapungufu mengi sana lakini kwa vile tumeamua kuendesha mambo kishikaji tunakwenda tu.

We hadi leo jamaa hawana ratiba inayoeleweka ya Ligi Kuu, ujanja ujanja mwingi. Nimesikitika sana eti kuanzia sasa Afisa Habari atakayefanya Comedy ataadhibiwa.

Yaani Bodi ya Ligi kweli mmekaa mkaona hiyo ni agenda ya kuwaambia wanamichezo kweli?

We Almasi hujioni kuwa ni mchekeshaji namba moja kwa mambo yanayofanywa na Bodi? Lipi hasa la maana unalolifanya ndani ya Bodi hadi watu wakukumbuke wewe.Lipi?

Wewe ndio unatakiwa uchukuliwe hatua kabisa kwa kuchekesha na sio hao Maafisa Habari.

Soma Pia: Ili ligi yetu iwe bora na ya kuvutia TFF na Bodi ya ligi inapaswa kushughulika na haya yafuatayo

Chawa wa Karia huyo hawezitoka hapo s

Huyo ni chawa wa Karia hawezikutoka hapo
 
Back
Top Bottom