Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Simba + yanga = CCM HoyeeeMwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu, Steven Mguto katika mahojiano yake na Kituo cha Habari cha Mwananchi Digital amesema iwapo wao Kama mamlaka za kimpira watashindwa kutatua sakata la Simba na Yanga kuhusiana na kuahirishwa kwa mchezo wa Derby ya Kariakoo basi wataishirikisha Serikali.
"Jambo hili likitushinda kabisa lazima tuihusishe Serikali iweze kusaidia, kwasababu kuhakikisha amani inakuwepo sio suala letu sisi peke yetu kila mtu anatakiwa kuhakikisha kuna kuwa na amani" — amesema Mguto.
Itakumbukwa mnamo Machi 8, 2025 Bodi ya Ligi kuu TPLB iliahirisha mechi kati ya mahasimu hao iliyopangwa kupigwa siku hiyo ya Machi 8 ya Wananchi Young Africans kuandika barua ya kubainisha kuwa hawataucheza tena mchezo huo huku wakidai alama tatu.
Aache kutapatapa. Akitaka kuwa salama, aseme tu ukweli wa yeye na bodi yake kukubaliana na mtoto wao simba kuahirisha ile mechi.Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu, Steven Mguto katika mahojiano yake na Kituo cha Habari cha Mwananchi Digital amesema iwapo wao Kama mamlaka za kimpira watashindwa kutatua sakata la Simba na Yanga kuhusiana na kuahirishwa kwa mchezo wa Derby ya Kariakoo basi wataishirikisha Serikali.
"Jambo hili likitushinda kabisa lazima tuihusishe Serikali iweze kusaidia, kwasababu kuhakikisha amani inakuwepo sio suala letu sisi peke yetu kila mtu anatakiwa kuhakikisha kuna kuwa na amani" — amesema Mguto.
Itakumbukwa mnamo Machi 8, 2025 Bodi ya Ligi kuu TPLB iliahirisha mechi kati ya mahasimu hao iliyopangwa kupigwa siku hiyo ya Machi 8 ya Wananchi Young Africans kuandika barua ya kubainisha kuwa hawataucheza tena mchezo huo huku wakidai alama tatu.
Wewe umefata nini ktk hii thread?Wagonjwa wa akili wanazidi kuongezeka.
Muogope sana Mtu anayeandika sana habari za
1.Simba na yanga.
2. Bodi ya Ligi.
3. TFF.
4. Karia.
5. Mchezo kuhairishwa.
6. CAS.
7. Hanse Raphael kichaa.
8. Uwanja wa Taifa.
9. Kanuni hekima na Busara.
MUOGOPE MTU HUYO KAMA UKOMA.
Nimesoma nikaona na wewe umeandika hayo hayo hivyo tukuogope, na vile vile ndugu Proved naye ni wale wale wa kuogopwa kwa ku-like habari zinazoandikwa na wanaotakiwa kuogopwa.Wagonjwa wa akili wanazidi kuongezeka.
Muogope sana Mtu anayeandika sana habari za
1.Simba na yanga.
2. Bodi ya Ligi.
3. TFF.
4. Karia.
5. Mchezo kuhairishwa.
6. CAS.
7. Hanse Raphael kichaa.
8. Uwanja wa Taifa.
9. Kanuni hekima na Busara.
MUOGOPE MTU HUYO KAMA UKOMA.
Mkuu Fifq imekataza Serikali kujiusicha nq mahamuzi ya Mpira wa miguu kwasababu Malalamiko yote ya mpira wa miguu yanatakiwa yapelekwe Fifa na siyo Serikalini.Eti hawa ndio viongozi wa kusimamia ligi!!
Sasa wakifata kanuni si ndio mtashushwa daraja kabisa? Unasemea kanuni ambazo mmezikanyaga?Haya mambo ndio yanaipa Uto kichwa. Tangaza tarehe, timu ngeni ifanye tizi, leta refa na maafisa wote, kama hawapo maliza mechi.
Fuata kanuni, kanuni hazitakiwi kuwa na macho
Onyesha kanuni iliyowapa kiburi cha kuzuia Simba kufanya mazoeziSasa wakifata kanuni si ndio mtashushwa daraja kabisa? Unasemea kanuni ambazo mmezikanyaga?
Naanza kukuogopa maana wewe umeyaandika yote sehemu moja.Wagonjwa wa akili wanazidi kuongezeka.
Muogope sana Mtu anayeandika sana habari za
1.Simba na yanga.
2. Bodi ya Ligi.
3. TFF.
4. Karia.
5. Mchezo kuhairishwa.
6. CAS.
7. Hanse Raphael kichaa.
8. Uwanja wa Taifa.
9. Kanuni hekima na Busara.
MUOGOPE MTU HUYO KAMA UKOMA.
Mbona mechi ya pamba mlichesa? Ulifanya mazoezi pale kama kanuni inavyotaka?Onyesha kanuni iliyowapa kiburi cha kuzuia Simba kufanya mazoezi
Na wewe onyesha kanuni iliyowapa kiburi cha kugomea mechi?Onyesha kanuni iliyowapa kiburi cha kuzuia Simba kufanya mazoezi
Taja Kanuni Inayosema Ukizuiliwa Kufanya Mazoezi Basi Ususie MechiOnyesha kanuni iliyowapa kiburi cha kuzuia Simba kufanya mazoezi
Acha uongo weweYanga iendelee kusimama hapo hapo, hiyo tarehe mpya itakayopangwa wasipeleke timu uwanjani. Sisi mashabiki tupo nyuma yao.