Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 1,145
- 2,937
Kama huwezi kuishusha daraja Simba au Yanga basi wewe ndiye dhaifu. Hizi timu zikishushwa daraja, Azam atajitoa, Nbc atajitoa, kampuni zingine nazo zitajiondoa kwenye udhamini.Haya mambo ndio yanaipa Uto kichwa. Tangaza tarehe, timu ngeni ifanye tizi, leta refa na maafisa wote, kama hawapo maliza mechi.
Fuata kanuni, kanuni hazitakiwi kuwa na macho
TFF na Bodi ya Ligi hawaziwezi hizi timu. Kiufupi Simba na Yanga tayari zimeshindikana