Bodi ya Ligi Kuu: Tukishindwa kutatua hili tutaihusisha Serikali

Haya mambo ndio yanaipa Uto kichwa. Tangaza tarehe, timu ngeni ifanye tizi, leta refa na maafisa wote, kama hawapo maliza mechi.

Fuata kanuni, kanuni hazitakiwi kuwa na macho
Kama huwezi kuishusha daraja Simba au Yanga basi wewe ndiye dhaifu. Hizi timu zikishushwa daraja, Azam atajitoa, Nbc atajitoa, kampuni zingine nazo zitajiondoa kwenye udhamini.

TFF na Bodi ya Ligi hawaziwezi hizi timu. Kiufupi Simba na Yanga tayari zimeshindikana
 
 
Mbona mechi ya pamba mlichesa? Ulifanya mazoezi pale kama kanuni inavyotaka?
Kwa hiyo nikifanyiwa kosa nikaliacha then nikifanyiwa mara ya pili na mtu mwingine ninakuwa sina haki kwasababu la kwanza nililiacha.
Ina maana kwa mawazo yako unaona kule Fifa watasema Simba haikugomea mchezo wake na Pamba kwahiyo hana haki ya kugomea mchezo na Yanga.

Siijui vema Sheria lakini vitu vingine ni Common sense tu.
 

Sijui hata mpira una maana gani kushabikia
 
Na hata huko Caf ninavyoona hoja za Yanga hazitazingatiwa kabisa kwasababu tayari Bodi ya ligi ilishahalalisha Mechi isifanyike, hivyo Simba tayari imeshaepuka adhabu yoyote ya kutokupeleka timu. Tff ndio watakaokosolewa tu kwa kutokuwa na utaratibu mzuri wa kiusalama ktk viwanja vya mpira
 
Sio hujui tu sheria ila umethibitisha hata kinachoendelea hukijui.
Nanai kaenda fifa?

Unafikirinkwa nini mwenyekiti wa bodi anataka busara ifatwe na sio sheria?
 
Sio hujui tu sheria ila umethibitisha hata kinachoendelea hukijui.
Nanai kaenda fifa?

Unafikirinkwa nini mwenyekiti wa bodi anataka busara ifatwe na sio sheria?
Tukubali tu kuwa Kitendo cha bodi ya ligi kuahirisha mechi kumeisaidia Simba kutokuwajibishwa kisheria. Wa kulaumiwa ni Bodi ya ligi.
 
Mkuu Fifq imekataza Serikali kujiusicha nq mahamuzi ya Mpira wa miguu kwasababu Malalamiko yote ya mpira wa miguu yanatakiwa yapelekwe Fifa na siyo Serikalini.
Huyo mzee ni mfilisi anawezaje kushindwa kutumia kanuni na sheria walizojiwekea leo aje kushirikisha wanasiasa kwenye mpira au anataka tufungiwe na FIFA
 
Huyu jamaa ana miaka mingapi?
Yani ukimuangalia ni marehemu Membe mtupu mpaka pua..
 
Siasa michezoni haitakiwiii
 
Asiyekuelewa ana lake jambo
 
Wakishindwa kutatua hilo siyo kuhusisha serikali,ni kujiuzulu. Mkishindwa wapo wanaoweza kusimamia kanuni jiuzuluni halafu hamna aibu eti tukishindwa kutatua
 
Niliwahi kuandika nyuzi hapa za kulalamikia marefa wa Tanzania kuchezesha mechi obviously kwa maelekezo.

Ule nao ni udhaifu wa bodi hii.
Kwahiyo utawala wa Walace Karia kiujumla ulishafeli..

Naam, sasa timu underdogs na nyie amkeni...mambo ya kukubali kuonewa kila siku yakomee kipindi.
 
Huyu
jamaa anauhsiano na Bernad Membe. ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…