Bodi ya Ligi mjitafakari upangaji Ratiba za Mechi

Utasikian mechi imeahirishwa kwa sababu rais alikuwa na mambo mengi na alitaka ahudhurie au mechi imesogezwa mbele kwa kuwa ambulance INA rangi nyeusi sio nyeupe tulioizoea.
Upuuzi mtupu
Tunamaajabu yetu sie acha tuu. Ndio maana sometimes mzungu akituita manyani nasemaga poa tuu maana jinsi tunavyofikiri na kufanya mambo yetu unabaki kushangaaa tuu.

Mtu anacheza moshi on sunday...wednesday anatakiwa acheze fa cup dar then sunday akacheze sauz, upuuzi eti tunasema mechi ya wednesday asicheze. Why asicheze? The more matches a player plays the better he becomes. Wataalam wetu wanatuangusha sana.

Sasa wee ngoja uone vichekesho vya mashindano ya caf msimu ujao
 
Kweli kabisa mtu akienda kanda ya ziwa aanze bukoba apite geita akamalizie mara akirudi home anapiga game mbili anaenda mkoa jirani anapiga safi tu

Anayekipiga jumamosi akipige na jumatano anayekipiga jumapili akipige na alhamisi

Waache visingizio vya ukata Azam na NBC wanatoa pesa ya kutosha kwa hizi timu zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…