Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
Wakiweka doping test kuna hatari timu za mikoani kubaki na wachezaji 3!Habari wana Jf.
Nimeisikia taarifa ya bodi ya ligi kuhusiana na mpango wake wa kuweka Gas detector katika mechi ya watani wa jani siku chache zijazo. Nawapongeza kwa hilo.
Wito wangu kwao ni kuweka kitengo kitakachoshughulikia masuala ya doping test ili kupima matumizi ya madawa yaliyopigwa marufuku michezoni. Kumekuwa na malalamiko mengi ya chini kwa chini kuhusiana na baadhi ya wachezaji wa timu fulani kutumia madawa ya kututumua misuli michezoni na hilo watu wanalishuku baada ya wachezaji hao kuonekana wana energy ya ajabu kwenye mechi mbalimbali.
Ili kuboresha ubora wa ligi yetu ni bora kuhakikisha matumizi ya madawa hayo yaliyopigwa marufuku michezoni
Ni hayo tu.
Propaganda hizi..mchezaji professional hawezi kukubali kujichoma madawa wakati uwezo wa kucheza dakika 90 au 120 bila anao. Hawawezi ku risk careers zao kisa simba na yangaHabari wana Jf.