Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri wakati Eymael anatoa ile kauli alikuwa anamlenga moja kwa moja huyu mtoa madaNi yanga tu ndo wanatabia ya kuhujumu timu ngeni.. ndo maana walipewa faini na cat cjui wamelipa?
TFF nap ni wahusika wa mchezo huoTimu ngeni hazitaki kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani kwa kuhofia hujuma. TFF msipuuzie jambo hili, lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Lazima Kuna ukweli fulani, kwani timu ziko ladhi kupigwa faini kuliko kuingia vyumbani?
Kama coastal union wangekubali kuingia vyumba vya kubadilishia nguo wangepokea kichapo Toka kwa Simba. Huu sio utani nakwambia. Simba wanaposema kuwa kwa Mkapa hatoki mtu Wana maana Yao.Nafikiri wakati Eymael anatoa ile kauli alikuwa anamlenga moja kwa moja huyu mtoa mada