Timu ngeni hazitaki kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani kwa kuhofia hujuma. TFF msipuuzie jambo hili, lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Lazima Kuna ukweli fulani, kwani timu ziko radhi kupigwa faini kuliko kuingia vyumbani?
Timu ngeni hazitaki kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani kwa kuhofia hujuma. TFF msipuuzie jambo hili, lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Lazima Kuna ukweli fulani, kwani timu ziko ladhi kupigwa faini kuliko kuingia vyumbani?
Kama coastal union wangekubali kuingia vyumba vya kubadilishia nguo wangepokea kichapo Toka kwa Simba. Huu sio utani nakwambia. Simba wanaposema kuwa kwa Mkapa hatoki mtu Wana maana Yao.