Bodi ya ligi na TFF wanaionea Yanga, ila tutafika maana sisi ni watetezi halisi wa nchi hii

Bodi ya ligi na TFF wanaionea Yanga, ila tutafika maana sisi ni watetezi halisi wa nchi hii

Happycuit

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
646
Reaction score
542
Wananchi wako Mwanza now.

Kifupi Yanga wana ratiba ngumu sana ni vile tu wako bora na wanashinda mechi. Wangekuwa wanafungwa au kutoa sare sauti zingekuwa zimeshasikika mtaani!

Tuwaombee. Hawatendewi haki kabisa.
 
Yaani wewe ni mpumbavu, unatoka Tunisia unapita Dubai kuzurura unataka nani akuonee huruma. Niwaulize Dubai mlipita kufanya Nini Kama siyo ushamba?
mimi sio yanga ila hakuna flight ya moja kwa moja kwenda baadhi ya mataifa ya uarabuni Africa ni lazima upitie dubai ndio uunge kwenda tunisia au morroco nakumbuka simba walipoenda algeria walipitia dubai.
Screenshot_20221112-091704.jpg

View attachment 2414140
 
💥 Wananchi wako Mwanza now...
Kifupi Yanga wana ratiba ngumu sana ni vile tu wako bora na wanashinda mechi.. Wangekuwa wanafungwa au kutoa sare sauti zingekuwa zimeshasikika mtaani!

Tuwaombee...🙏
Hawatendewi haki kabisa...
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Yaani wewe ni mpumbavu, unatoka Tunisia unapita Dubai kuzurura unataka nani akuonee huruma. Niwaulize Dubai mlipita kufanya Nini Kama siyo ushamba?
Wewe unaishi kwenye Dunia ya wapi? Hujawahi kusafiri na Ndege?

Issue ni kwamba hakukua na direct flight from Tunisia to Dar es salaam, so ilibidi watoke Tunisia wapitie Dubai ku change flight ndo waje Dar es salaam.
 
Wewe ndiyo mshamba kubadiri flight Kwa Dunia ya leo ni siku mbili ama kulitokea dharura?
 
mimi sio yanga ila hakuna flight ya moja kwa moja kwenda baadhi ya mataifa ya uarabuni Africa ni lazima upitie dubai ndio uunge kwenda tunisia au morroco nakumbuka simba walipoenda algeria walipitia dubai.View attachment 2414130
View attachment 2414140
Simba alivokodi eatanzania kwenda na kurudi angola ili asipoteze muda mkamuona lofa sio? Yanga inahela ilishindwa nn kukodi ethiopian ealine
 
[emoji95] Wananchi wako Mwanza now...
Kifupi Yanga wana ratiba ngumu sana ni vile tu wako bora na wanashinda mechi.. Wangekuwa wanafungwa au kutoa sare sauti zingekuwa zimeshasikika mtaani!

Tuwaombee...[emoji120]
Hawatendewi haki kabisa...
Hamna jema. Mashujaa wa kampeni hii ni Yanga wenyewe.

Mliona raha sana wakati Simba anatoka mechi nzito nzito za CCL kisha anapumzika siku 2 anaingia uwanjani.
Leo hii imegeukia kwenu mnaanza kulia lia.

Kwanza mechi mmecheza jumatano kucheza jumapili mbona mnakua mmepumzika sana vya kutosha !
 
Back
Top Bottom