Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Mkuu sijachukia ila mtu kuniambia sifahamu mambo ya flight exchange ndiyo nakataa, Kama yanga walikuwa na tiket tatari iweje iwachukue takiribani masaa 28 kuondoka Dubai?Naona umechukia kweli Yanga kupitia Dubai, baada ya kutoka huko Tunisia.