tena pumbavu wa kiwango cha sgrYaani wewe ni mpumbavu, unatoka Tunisia unapita Dubai kuzurura unataka nani akuonee huruma. Niwaulize Dubai mlipita kufanya Nini Kama siyo ushamba?
mimi sio yanga ila hakuna flight ya moja kwa moja kwenda baadhi ya mataifa ya uarabuni Africa ni lazima upitie dubai ndio uunge kwenda tunisia au morroco nakumbuka simba walipoenda algeria walipitia dubai.Yaani wewe ni mpumbavu, unatoka Tunisia unapita Dubai kuzurura unataka nani akuonee huruma. Niwaulize Dubai mlipita kufanya Nini Kama siyo ushamba?
Unamjibu nini popoma huyumimi sio yanga ila hakuna flight ya moja kwa moja kwenda baadhi ya mataifa ya uarabuni Africa ni lazima upitie dubai ndio uunge kwenda tunisia au morroco nakumbuka simba walipoenda algeria walipitia dubai.View attachment 2414130
🤔🤔🤔🤔🤔🤔💥 Wananchi wako Mwanza now...
Kifupi Yanga wana ratiba ngumu sana ni vile tu wako bora na wanashinda mechi.. Wangekuwa wanafungwa au kutoa sare sauti zingekuwa zimeshasikika mtaani!
Tuwaombee...🙏
Hawatendewi haki kabisa...
Walikaa masaa 28 Dubai? Ni exchange ama kulikuwa na kinginemimi sio yanga ila hakuna flight ya moja kwa moja kwenda baadhi ya mataifa ya uarabuni Africa ni lazima upitie dubai ndio uunge kwenda tunisia au morroco nakumbuka simba walipoenda algeria walipitia dubai.View attachment 2414130
Wewe huwezi kunijibu fala wewe.. Ina maana Dubai mnabafiri ndege siku nzima? Acha upumbavuUnamjibu nini popoma huyu
Mechi imemalizika saa jtano mapema tu yaani saa 2;za usiku Kwa saa za Tunisia lakini wao wamefika hapa ijumaa halafu walikwenda kubook hotel Dubai walale sijui ili iweje.Yanga ndio hao hao walikuwa wanalalamika Simba kuwekewa viporo...
Hongereni hata hivyo Kwa kuchukua kombe la group stage losers
Wewe unaishi kwenye Dunia ya wapi? Hujawahi kusafiri na Ndege?Yaani wewe ni mpumbavu, unatoka Tunisia unapita Dubai kuzurura unataka nani akuonee huruma. Niwaulize Dubai mlipita kufanya Nini Kama siyo ushamba?
Wewe nambie yanga walikuwa na lengo la kubadiri flight ama kulikuwa na kingine hapo Dubai?Kama huna uelewa wa kitu, omba msaada ili ufahamishwe. Ona sasa ulichokiandika hapa! Mwenyewe umejiona mjanja! Kumbe bumunda tu.
Wewe ndiyo mshamba kubadiri flight Kwa Dunia ya leo ni siku mbili ama kulitokea dharura?Wewe unaishi kwenye Dunia ya wapi? Hujawahi kusafiri na Ndege?
Issue ni kwamba hakukua na direct flight from Tunisia to Dar es salaam, so ilibidi watoke Tunisia wapitie Dubai ku change flight ndo waje Dar es salaam.
Simba alivokodi eatanzania kwenda na kurudi angola ili asipoteze muda mkamuona lofa sio? Yanga inahela ilishindwa nn kukodi ethiopian ealinemimi sio yanga ila hakuna flight ya moja kwa moja kwenda baadhi ya mataifa ya uarabuni Africa ni lazima upitie dubai ndio uunge kwenda tunisia au morroco nakumbuka simba walipoenda algeria walipitia dubai.View attachment 2414130
View attachment 2414140
Naona umechukia kweli Yanga kupitia Dubai, baada ya kutoka huko Tunisia.Wewe nambie yanga walikuwa na lengo la kubadiri flight ama kulikuwa na kingine hapo Dubai?
Hamna jema. Mashujaa wa kampeni hii ni Yanga wenyewe.[emoji95] Wananchi wako Mwanza now...
Kifupi Yanga wana ratiba ngumu sana ni vile tu wako bora na wanashinda mechi.. Wangekuwa wanafungwa au kutoa sare sauti zingekuwa zimeshasikika mtaani!
Tuwaombee...[emoji120]
Hawatendewi haki kabisa...