Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Mkuu sijachukia ila mtu kuniambia sifahamu mambo ya flight exchange ndiyo nakataa, Kama yanga walikuwa na tiket tatari iweje iwachukue takiribani masaa 28 kuondoka Dubai?Naona umechukia kweli Yanga kupitia Dubai, baada ya kutoka huko Tunisia.
Yanga ina kikosi bora na kipana wewe! Wala haiwezi kuyumbushwa na huo ufinyu wa muda.Bado washamba kwasababu mlikuwa hamfiki mbali kimataifa, sasa jiandaeni kushangilia na ugumu wa ratiba kama mlivyoshangilia mlivyofuzu makundi ya "losers cup"
Mechi na geita bila penati ya mchongo ngoma si ilikuwa pacha ile💥 Wananchi wako Mwanza now...
Kifupi Yanga wana ratiba ngumu sana ni vile tu wako bora na wanashinda mechi.. Wangekuwa wanafungwa au kutoa sare sauti zingekuwa zimeshasikika mtaani!
Tuwaombee...🙏
Hawatendewi haki kabisa...
Kibu Denis mpumbavuYanga ina kikosi bora na kipana wewe! Wala haiwezi kuyumbushwa na huo ufinyu wa muda.
Ni tofauti kabisa na nyinyi mnaomtegemea Kibu Denis!
Sasa mbona kulia lia kuonewa na tff hakuishi?Yanga ina kikosi bora na kipana wewe! Wala haiwezi kuyumbushwa na huo ufinyu wa muda.
Ni tofauti kabisa na nyinyi mnaomtegemea Kibu Denis!
TFF kama mlezi wa vilabu vyote, inatakiwa kusimama kanuni za mpira wa miguu kwa haki. Inapo kengeuka na kuegemea upande mmoja, hakika tutapaza tu sauti zetu.Sasa mbona kulia lia kuonewa na tff hakuishi?
Mkuu, komaa na Shibiby/Abood tu ambazo unajua kabisa Moro-Dar lazima ipite Chalinze.Yaani wewe ni mpumbavu, unatoka Tunisia unapita Dubai kuzurura unataka nani akuonee huruma. Niwaulize Dubai mlipita kufanya Nini Kama siyo ushamba?
Aliyetoa kojo lako ndio mpumbavu pamoja naweweWewe huwezi kunijibu fala wewe.. Ina maana Dubai mnabafiri ndege siku nzima? Acha upumbavu
OkAliyetoa kojo lako ndio mpumbavu pamoja nawewe
Walienda kwa ndege isiyo ya kukodi. Ndege zina ruti zao wanazipanga wenyeweYaani wewe ni mpumbavu, unatoka Tunisia unapita Dubai kuzurura unataka nani akuonee huruma. Niwaulize Dubai mlipita kufanya Nini Kama siyo ushamba?
Hawa kima hawana kumbukumbu, ulimbukeni wa kuingia makundi umewawehua kabisaMda Simba inatoka S.africa nakipumzika siku 2 tu mlikua mnaona raha sio
Kwani nani ameleta huu uzi wa kulia lia hapa kuwa mnaonewa? Tukisema hamna akili mnasema mnatukanwa.Yanga ina kikosi bora na kipana wewe! Wala haiwezi kuyumbushwa na huo ufinyu wa muda.
Ni tofauti kabisa na nyinyi mnaomtegemea Kibu Denis!
Mpo kombe la loser alafu mnapiga kelele.Wananchi wako Mwanza now.
Kifupi Yanga wana ratiba ngumu sana ni vile tu wako bora na wanashinda mechi. Wangekuwa wanafungwa au kutoa sare sauti zingekuwa zimeshasikika mtaani!
Tuwaombee. Hawatendewi haki kabisa.
ficha ujinga wako mkuu. hakuna ndege ya moja kwa moja kwenda tunisia kwakuwa walisafiria ndege ya abiria ilikuwa lazima wapite dubaiYaani wewe ni mpumbavu, unatoka Tunisia unapita Dubai kuzurura unataka nani akuonee huruma. Niwaulize Dubai mlipita kufanya Nini Kama siyo ushamba?
Sasa kinachofanya mnajiliza ni niniYanga ina kikosi bora na kipana wewe! Wala haiwezi kuyumbushwa na huo ufinyu wa muda.
Ni tofauti kabisa na nyinyi mnaomtegemea Kibu Denis!
Ila mnapopata ushindi wa mchongo mnapaza sauti pia eeeeehTFF kama mlezi wa vilabu vyote, inatakiwa kusimama kanuni za mpira wa miguu kwa haki. Inapo kengeuka na kuegemea upande mmoja, hakika tutapaza tu sauti zetu.
Kwani nani ameleta huu uzi wa kulia lia hapa kuwa mnaonewa? Tukisema hamna akili mnasema mnatukanwa.
Maswali mengine bhana!! Kwa hiyo mtu akija humu jukwaani na mada yake inayoihusu Yanga kuhusu ufinyu wa muda, basi mtu huyo anawakilisha mawazo ya watu wote wanao fungamana na Yanga!!Sasa kinachofanya mnajiliza ni nini
Mbona Simba Mnyama huwa hatulii lii na kuiraumu Tff wakati tuko robo fainali zote za CafMaswali mengine bhana!! Kwa hiyo mtu akija humu jukwaani na mada yake inayoihusu Yanga kuhusu ufinyu wa muda, basi mtu huyo anawakilisha mawazo ya watu wote wanao fungamana na Yanga!!
Kweli akili ni nywele.