Shujaa Mwendazake JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 4,016 Reaction score 6,759 Jun 10, 2023 #1 Moja kwa moja kwenye mada. Refer msimu uliyopita wakati wa battle ya Mayele na G.Mpole. Bodi ya ligi walifafanua tayar hili suala. Kinachoendelea sasa ni watu kulazimisha kupindisha taratibu kutokana na hisia. Haiwezekani taratibu zipindishwe kutokana na matukio. Huo ndo msimamo wa bodi ya ligi, mengine ni blah blah tu.
Moja kwa moja kwenye mada. Refer msimu uliyopita wakati wa battle ya Mayele na G.Mpole. Bodi ya ligi walifafanua tayar hili suala. Kinachoendelea sasa ni watu kulazimisha kupindisha taratibu kutokana na hisia. Haiwezekani taratibu zipindishwe kutokana na matukio. Huo ndo msimamo wa bodi ya ligi, mengine ni blah blah tu.
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Jun 10, 2023 #2 Kuna nguvu kubwa kumfariji MO.....na kilatuuu
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Jun 10, 2023 #3 Tulianza ligi vizuri tu nia kugombea kombe mara ghafla wenzetu wamegeukia kiatu