Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Moja kwa moja kwenye mada.
Refer msimu uliyopita wakati wa battle ya Mayele na G.Mpole.
Bodi ya ligi walifafanua tayar hili suala.
Kinachoendelea sasa ni watu kulazimisha kupindisha taratibu kutokana na hisia. Haiwezekani taratibu zipindishwe kutokana na matukio.
Huo ndo msimamo wa bodi ya ligi, mengine ni blah blah tu.