Aina ya mpira wanaocheza ruvu na kmc ni viwanja vicheche vinasapoti uchezaji wao hawawezi peleka kwenye viwanja vitakavyo waathiri wao.
Hii timu isha kua ya kulalamika kila kituBaada ya jana, Simba SC kuchukua alama 3 muhimu mbele ya Namungo, ratiba ya Simba SC katika mechi 7 zijazo ni kama ifauatavyo;
- 19-11-2022 Ruvu Shooting - Simba SC
- 23-11-2022 Mbeya City - Simba SC
- 27-11-2022 Polisi Tanzania FC - Simba SC
- 03-12-2022 Coastal Union - Simba SC
- 18-12-2022 Geita Gold FC - Simba SC
- 21-12-2022 Kagera Sugar - Simba SC
- 26-12-2022 Kinondoni MC - Simba SC
Ukiangalia ratiba hiyo utagundua ndani ya siku 37 mfululizo, Simba SC atakuwa mikoani akitafuta alama 21! Hili litakua ajabu la nane la Dunia.
Bodi ya Ligi muda mnao, na hili nalo mkalitazame.
Mkuu mimi naliona tofauti. Huo ni mwendelezo wa TFF Simba kuitafutia ubingwa Simba. Kwani Round ya pili ambayo inakuwaga ngumu zaidi Simba watakuwa na game nyingi nyumbani.Nachokilalamika hapa, ni Simba SC kucheza mechi 7 ugenini, na si kucheza mechi kila baada ya siku 3. Lini Yanga kacheza au atacheza mechi 7 mfululizo ugenini?
Umeiangalia ratiba ya Ihefu?Baada ya jana, Simba SC kuchukua alama 3 muhimu mbele ya Namungo, ratiba ya Simba SC katika mechi 7 zijazo ni kama ifauatavyo;
- 19-11-2022 Ruvu Shooting - Simba SC
- 23-11-2022 Mbeya City - Simba SC
- 27-11-2022 Polisi Tanzania FC - Simba SC
- 03-12-2022 Coastal Union - Simba SC
- 18-12-2022 Geita Gold FC - Simba SC
- 21-12-2022 Kagera Sugar - Simba SC
- 26-12-2022 Kinondoni MC - Simba SC
Ukiangalia ratiba hiyo utagundua ndani ya siku 37 mfululizo, Simba SC atakuwa mikoani akitafuta alama 21! Hili litakua ajabu la nane la Dunia.
Bodi ya Ligi muda mnao, na hili nalo mkalitazame.
Kwaiyo point yako ni yanga nae acheze mechi 7 mfululizo ugenini?Nachokilalamika hapa, ni Simba SC kucheza mechi 7 ugenini, na si kucheza mechi kila baada ya siku 3. Lini Yanga kacheza au atacheza mechi 7 mfululizo ugenini?
Wengine tuliongea Simba alipoanza mechi 4 mfululizo nyumbani tukaonekana sisi ni Yanga. Kila mara nasema Mimi nilibahatika kukwepa mtego wa Kariakoo Syndrome, kwa hiyo ni shabiki huru kwa Simba na Yanga. Ratiba inapotoka tuwe tunakosoa, lakini nilipojaribu niliambiwa, "Bodi inajua kila kitu, wewe ni nani?"Ni kweli Mkuu. Bodi ya ligi walitakiwa walione hili mapema. Athari ya hili inaweza tokea katika group stages za CAFCL.
Ndivyo walivyo hawa jamaa zetu. Ukikosoa ubora wa marefa wanakushambulia kama siku iyo alifanya mamuzi yaliyowabeba ila ikitokea mpinzani kanufaika na maamuzi mabaya ya refa wanasema kapewa bahashaWengine tuliongea Simba alipoanza mechi 4 mfululizo nyumbani tukaonekana sisi ni Yanga. Kila mara nasema Mimi nilibahatika kukwepa mtego wa Kariakoo Syndrome, kwa hiyo ni shabiki huru kwa Simba na Yanga. Ratiba inapotoka tuwe tunakosoa, lakini nilipojaribu niliambiwa, "Bodi inajua kila kitu, wewe ni nani?"
Mbeya city na prison wanatumia uwanja mmoja kwahiyo hakutakuwa na safari yoyote zaidi ya kupasha pasha wakisubiri siku ya mechi.Ni kweli Mkuu.. Kumbuka Simba akimaliza kucheza na Mbeya City jiini Mbeya itabidi aanze safari ya kuelekea kuwatafuta Prisons. Akimalizana nao anaelekea Tanga, kuwatafuta Costal. Hiii si nzuri kwa afya ya wachezaji.
Mmecheza mechi ngapi nyumbani mpaka sasa? Au ndioooo.......Nachokilalamika hapa, ni Simba SC kucheza mechi 7 ugenini, na si kucheza mechi kila baada ya siku 3. Lini Yanga kacheza au atacheza mechi 7 mfululizo ugenini?
Wakati mnacheza game 9 DAR mbona haukuja jukwaani kulalamika? maana mpaka sasa mmeenda mikoani game 2 tu ya Singida na Prisons,Nachokilalamika hapa, ni Simba SC kucheza mechi 7 ugenini, na si kucheza mechi kila baada ya siku 3. Lini Yanga kacheza au atacheza mechi 7 mfululizo ugenini?
Wakati mnacheza game 9 DAR mbona haukuja jukwaani kulalamika? maana mpaka sasa mmeenda mikoani game 2 tu ya Singida na Prisons,