Ngao ya hisani simba na yanga ilikuwa j5Mimi nadhani wameona mapato ya takuwa kidogo maana ni katikati ya wiki watu wengi watakuwa kazini,hivyo basi Jmoo itakuwa njema tuuuuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ati mhenga Okwi anahofiwa tena na vijana ?
mnasema okwi ni mhenga hofu inatoka wapi akiwepoUjinga upi sasa???, Samaki mkunje angali mbichi, unazani TFF Simba wajinga???, lazima waandae mapema mbeleko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo kubwa ni kuzoroteaha ligi kwa mtu mmoja eti mchezo wa SIMBA VS AZAM umekhairishwa kisa okwi kwenda kucheza mashindano kwenye timu yake ya taifa dio maana kutoka kwetu bado ngumu kisoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi maamuzi ya TFF sharti yapate idhini Simba.
FIFA ina kanuni ipo very clear kuhusu idadi inayokubalika timu kuomba kuahirisha mechi iwapo wachezaji wake wapo kwenye majukumu ya National Team.
Haiwezi kuwa wachezaji wawili. Kama sijakosea ni watano! I stand to be corrected!
Kweli....Ujinga upi sasa???, Samaki mkunje angali mbichi, unazani TFF Simba wajinga???, lazima waandae mapema mbeleko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kubwa ipo mbele yetu...Kumbuka tweet ya mtu aliyetarajiwa kuwa anajitambua. Halafu Kesho atateuliwa kuwa waziri wa michezo
Seriously??.MECHI YA SIMBA NA AZAM YASOGEZWA MBELE SABABU YA OKWI
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kesho linatarajiwa kutoa ratiba mpya ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyofanyiwa marekebisho na ndani yake mchezo kati ya Azam FC na Simba SC uliokuwa ufanyike Septemba 6 umesogezwa mbele hadi Septemba 9.
Na hatua hiyo inafuatia maombi ya klabu ya Simba kutaka mchezo huo usogezwe mbele kwa kuwa wachezaji wake wawili tegemeo, beki Juuko Murshid na mshambuliaji Emmanuel Okwi hawatakuwepo.
http://www.binzubeiry.co.tz/2017/09/mechi-ya-simba-na-azam-yasogezwa-mbele.html?m=1
Kusogeza mechi kwa sababu ya wachezaji wawili tu ni upuuzi mkubwa sana. Si wanasema wamesajili kikosi mahiri na kikubwa? Huyo Okwi Okwi akiumia muda mrefu, ligi yetu itasimama kumsubiri apone? Mbona Yanga ilimkosa Donald Ngoma kwa muda mrefu na maisha yaliendelea kama kawaida.MECHI YA SIMBA NA AZAM YASOGEZWA MBELE SABABU YA OKWI
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kesho linatarajiwa kutoa ratiba mpya ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyofanyiwa marekebisho na ndani yake mchezo kati ya Azam FC na Simba SC uliokuwa ufanyike Septemba 6 umesogezwa mbele hadi Septemba 9.
Na hatua hiyo inafuatia maombi ya klabu ya Simba kutaka mchezo huo usogezwe mbele kwa kuwa wachezaji wake wawili tegemeo, beki Juuko Murshid na mshambuliaji Emmanuel Okwi hawatakuwepo.
http://www.binzubeiry.co.tz/2017/09/mechi-ya-simba-na-azam-yasogezwa-mbele.html?m=1
Mlitutesa na Malinzi wenu,sasa zamu ni yetu kutesaSasa hivi maamuzi ya TFF sharti yapate idhini Simba.
FIFA ina kanuni ipo very clear kuhusu idadi inayokubalika timu kuomba kuahirisha mechi iwapo wachezaji wake wapo kwenye majukumu ya National Team.
Haiwezi kuwa wachezaji wawili. Kama sijakosea ni watano! I stand to be corrected!
Tangazo hili hwua nalisikia kila mwanzo wa msimuMwaka wa Simba Sports Club [emoji814] huuu
Kuna wenzako wanadai Yanga bado inapendelewa na waamuzi. Rejea goli halali lakusawazisha dhidi ya Lipuli. Karia na Wamnura nao ni Yanga?Mlitutesa na Malinzi wenu,sasa zamu ni yetu kutesa
Hata ulaya mechi huchezwa katikati ya wiki. Tatizo hapa ni kubadilisha siku ya mechi eti Mikia FC wawangoje wachezaji wao toka Uganda waje.Lakini wasiendelee na wasianze kutuvurugia mambo kalenda ya FIFA nashani wanaijua viizuri lakini wao kwa matakwa yao wameanza figisu zao. Eti match ya simba vs azam ichezwe j5 kati kati mwa wiki alafu baasa ya hapo mechi zinazofuata zichezwe wikendi kuna nn hapo mbona ulaya kote hakuna mechi iliyopangwa kuchezwa kati kati mwa wiki mpaka wikendi tuuu hii ya kwetu tumeitoa wapi waache mambo yao na figisu zao mechi zote zipangwe kulingana na kalenda. Naona lengo lao wanataka wawe wanaenda kucheza huku wakiwa wameshajua matokeo ya simba kuwa kashinda au kafungwa kwa mwendo huu hatufiki, mbona ulaya haijalishi huyu ni nani hakuna siku wamesema eti Leo anacheza man u vs Chelsea au Liverpool mechi ya stock vs burnly tuiweke kesho hawana utaratibu Huo Bali kinachoangaliwa ni ratiba tuuu. Over acheni figisu zenu nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Historia Ni Mwalimu mzuriTangazo hili hwua nalisikia kila mwanzo wa msimu
Eti huyu nae aligombea urais wa nchi?Kumbuka tweet ya mtu aliyetarajiwa kuwa anajitambua. Halafu Kesho atateuliwa kuwa waziri wa michezo
Maajabu hayaishi Bongolala land.Eti huyu nae aligombea urais wa nchi?