Bodi ya ligi yafanya mabadiliko madogo ratiba ya ligi kuu Tanzania Bara

Kwa hali hii mtapotea jukwaa hili. Leo mtu kala 5 na Okwi hakuwepo.
 
Jambo kubwa ni kuzoroteaha ligi kwa mtu mmoja eti mchezo wa SIMBA VS AZAM umekhairishwa kisa okwi kwenda kucheza mashindano kwenye timu yake ya taifa dio maana kutoka kwetu bado ngumu kisoka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa hivi maamuzi ya TFF sharti yapate idhini Simba.
FIFA ina kanuni ipo very clear kuhusu idadi inayokubalika timu kuomba kuahirisha mechi iwapo wachezaji wake wapo kwenye majukumu ya National Team.
Haiwezi kuwa wachezaji wawili. Kama sijakosea ni watano! I stand to be corrected!

MECHI YA SIMBA NA AZAM YASOGEZWA MBELE SABABU YA OKWI

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kesho linatarajiwa kutoa ratiba mpya ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyofanyiwa marekebisho na ndani yake mchezo kati ya Azam FC na Simba SC uliokuwa ufanyike Septemba 6 umesogezwa mbele hadi Septemba 9.
Na hatua hiyo inafuatia maombi ya klabu ya Simba kutaka mchezo huo usogezwe mbele kwa kuwa wachezaji wake wawili tegemeo, beki Juuko Murshid na mshambuliaji Emmanuel Okwi hawatakuwepo.

http://www.binzubeiry.co.tz/2017/09/mechi-ya-simba-na-azam-yasogezwa-mbele.html?m=1
 
Kumbuka tweet ya mtu aliyetarajiwa kuwa anajitambua. Halafu Kesho atateuliwa kuwa waziri wa michezo
3ae4b18bc905f621eeeaaef4c87d3838.jpg
Kazi kubwa ipo mbele yetu...
 
MECHI YA SIMBA NA AZAM YASOGEZWA MBELE SABABU YA OKWI

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kesho linatarajiwa kutoa ratiba mpya ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyofanyiwa marekebisho na ndani yake mchezo kati ya Azam FC na Simba SC uliokuwa ufanyike Septemba 6 umesogezwa mbele hadi Septemba 9.
Na hatua hiyo inafuatia maombi ya klabu ya Simba kutaka mchezo huo usogezwe mbele kwa kuwa wachezaji wake wawili tegemeo, beki Juuko Murshid na mshambuliaji Emmanuel Okwi hawatakuwepo.

http://www.binzubeiry.co.tz/2017/09/mechi-ya-simba-na-azam-yasogezwa-mbele.html?m=1
Seriously??.
 
Kusogeza mechi kwa sababu ya wachezaji wawili tu ni upuuzi mkubwa sana. Si wanasema wamesajili kikosi mahiri na kikubwa? Huyo Okwi Okwi akiumia muda mrefu, ligi yetu itasimama kumsubiri apone? Mbona Yanga ilimkosa Donald Ngoma kwa muda mrefu na maisha yaliendelea kama kawaida.
Hao wachezaji wengine wanajisikia vipi kwamba lazima Okwi awepo. Wao kazi yao ni nini hasa?
 
Sasa hivi maamuzi ya TFF sharti yapate idhini Simba.
FIFA ina kanuni ipo very clear kuhusu idadi inayokubalika timu kuomba kuahirisha mechi iwapo wachezaji wake wapo kwenye majukumu ya National Team.
Haiwezi kuwa wachezaji wawili. Kama sijakosea ni watano! I stand to be corrected!
Mlitutesa na Malinzi wenu,sasa zamu ni yetu kutesa
 
Kuna wenzako wanadai Yanga bado inapendelewa na waamuzi. Rejea goli halali lakusawazisha dhidi ya Lipuli. Karia na Wamnura nao ni Yanga?
 
Lakini wasiendelee na wasianze kutuvurugia mambo kalenda ya FIFA nashani wanaijua viizuri lakini wao kwa matakwa yao wameanza figisu zao. Eti match ya simba vs azam ichezwe j5 kati kati mwa wiki alafu baasa ya hapo mechi zinazofuata zichezwe wikendi kuna nn hapo mbona ulaya kote hakuna mechi iliyopangwa kuchezwa kati kati mwa wiki mpaka wikendi tuuu hii ya kwetu tumeitoa wapi waache mambo yao na figisu zao mechi zote zipangwe kulingana na kalenda. Naona lengo lao wanataka wawe wanaenda kucheza huku wakiwa wameshajua matokeo ya simba kuwa kashinda au kafungwa kwa mwendo huu hatufiki, mbona ulaya haijalishi huyu ni nani hakuna siku wamesema eti Leo anacheza man u vs Chelsea au Liverpool mechi ya stock vs burnly tuiweke kesho hawana utaratibu Huo Bali kinachoangaliwa ni ratiba tuuu. Over acheni figisu zenu nyie

Hata ulaya mechi huchezwa katikati ya wiki. Tatizo hapa ni kubadilisha siku ya mechi eti Mikia FC wawangoje wachezaji wao toka Uganda waje.
 
Back
Top Bottom