Bodi ya ligi yafanya mabadiliko

Huo sasa ni utaahira wamewabeba YANGA kwa lipi? Maana kanuni hizi zitaanza msimu huu ulioanza, maana yake mshindi wa pili wa msimu huu ulioanza ndy atawakilisha nchi au ushatabiri Yanga watakuwa washindi wa pili tena?
Ndio uwezo wao ulipo kwa sasa.....keep the date!
 
Mbeleko FC aka utopolo ndio wameshinikiza figisu hii. Ni kwasababu wanajijua hawawezi beba ubingwa wowote kwa miaka mitano mfululizo. Shwain
Umbumbumbu ni mzigo mkubwa sana
 
Naona Yanga anatengenezewa Mazingira
Uwezo wa kufikiria umekaa kiushabiki wa usimba na uyanga. Kwanini useme Yanga ndio inayotengenezewa mazingira ili hali ligi bado haijajulikana mshindi nani na anayeshika nafasi ya pili ni nani?

Msimu wa 2018/2019 bingwa wa ligi kuu alikuwa ni Simba huku Yanga akishika nafasi ya pili kwenye msimamo. Azam akashika nafasi ya tatu huku kmc akishika nafasi ya nne.

Unaweza kuniambia kwanini TFF hawakumpa nafasi Lipuli aliyekuwa mshindi wa pili katika kombe la Azam na badala yake wampe nafasi KMC aliyeshika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi?

Kwanini michuano ya kimataifa ya 2019/2020 wamemuacha mshindi wa pili wa kombe la Azam asiwe na nafasi kombe la shirikisho halafu msimu wa michuano ya kimataifa 2020/2021 waipe nafasi timu iliyoshika nafasi ya pili kwenye kombe la Azam wakati msimu uliopita hawakutumia kigezo hiko? Hapo unapata picha gani?
 
Kwani si ndio iko hivyo, au wewe umeelewaje?
 
TFF wamechelewa sana kuchukua maamuzi hayo. Kwa utaratibu wa awali kuna siku Tanzania ingepata mwakilishi wa ajabu sana kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika!

Kwa mfano katika michuano iliyopita ya kombe la Azam ambapo Namungo imepata nafasi ya kuiwakilisha nchi kulikua na uwezekano wa Sahare All Stars kubahatisha nafasi ile kama wangeitoa Namungo kwenye nusu fainalo
 
kwani sahare wana shida gan wasiwakilishe nchi
 
Huo sasa ni utaahira wamewabeba YANGA kwa lipi? Maana kanuni hizi zitaanza msimu huu ulioanza, maana yake mshindi wa pili wa msimu huu ulioanza ndy atawakilisha nchi au ushatabiri Yanga watakuwa washindi wa pili tena?

Hapo yanga kabebwa kiushikaji. Yanga hawezi shinda ligi so hapo wamempa matumaini basi mzeyaa komaa umalize wapili utoke matopeni hahahaha
 

Sasa tatizo lipo wapi....mie nafikiri lengo la hilo kombe ni kuzipa fursa unknownnteams kuonekana...na pia suprise packages ndio zinaburudisha kwenye mpira
 
Namungo ataenda kuliaibisha Taifa, timu mbovu na hawajajipanga kimataifa, wanachukua makapi ya simba na yanga, TFF ifanye tu maamuzi magumu tu wampe hiyo tiketi mshindi wa pili, hili linaweza isadia taifa kupata timu 4 msimu ujao kama timu zitafanikiwa kuingia robo fainal au makundi na pia TFF pia kupiga hela kwenye viingilio.
 
kwani sahare wana shida gan wasiwakilishe nchi
Shida ipo Mkuu. Michuano ya Azam mechi ni chache sana na ni mtoano. Katimu hata ka mtaani kanaweza kakajipanga kaka fluke kupenyapenya hadi kakafika fainali. Matokeo yake mnapeleka mwakilishi kwenye michuano ya kimataifa anakuja kupigwa kipigo cha mbwa mwizi ndani na nje

Ligi Kuu ina mechi nyingi na timu zinazocheza zinakua fit. Timu inayoshika nafasi ya pili na hivyo kuwakilisha nchi inakua imepatikana kwa mchujo mkali na unaostahili na sio wa kubahatisha kama kamari kama ilivyo kwenye michuano ya Azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…