Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Sasa kombe la Azam litakuwa na faida gan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio uwezo wao ulipo kwa sasa.....keep the date!Huo sasa ni utaahira wamewabeba YANGA kwa lipi? Maana kanuni hizi zitaanza msimu huu ulioanza, maana yake mshindi wa pili wa msimu huu ulioanza ndy atawakilisha nchi au ushatabiri Yanga watakuwa washindi wa pili tena?
Hoja ni kuwa bingwa wa nini, kwa umbea na miamala mpaka kiama hamtakuwa na mpinzani.Simba bingwa MFULULIZO mpaka mtoto wangu afikishe miaka 18.
Na sasa ana miezi 4.
Kazi mnayo
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hoja ni kuwa bingwa wa nini, kwa umbea na miamala mpaka kiama hamtakuwa na mpinzani.
Kwani tickêt ya kuwa shabiki wa mbwa fc ni umbumbumbu eeeh, uneducatedWananisifia kuchukua ubingwa wa miamala kenge hawa
Uwezo wa kufikiria umekaa kiushabiki wa usimba na uyanga. Kwanini useme Yanga ndio inayotengenezewa mazingira ili hali ligi bado haijajulikana mshindi nani na anayeshika nafasi ya pili ni nani?Naona Yanga anatengenezewa Mazingira
Sawa nyani FC.Umbumbumbu ni mzigo mkubwa sana
Kwani si ndio iko hivyo, au wewe umeelewaje?[emoji16][emoji16][emoji16] TFF wajanja sana.
Kwanini hii kanuni isingetumika msimu uliopita?
mimi naona bora Ibaki vile vile.
Mshindi wa kwanza wa ligi aende ligi ya mabingwa africa. Na Mshindi wa kombe la azam aende shirikisho africa..
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Umevuta ugoro wewe, mbona mna vichwa vigumu hivyo?Tanzania ndio nchi iliyo na mambo ya ajabu kwenye kila kitu kwaiyo saizi kombe la azam alina manana.
kwani sahare wana shida gan wasiwakilishe nchiTFF wamechelewa sana kuchukua maamuzi hayo. Kwa utaratibu wa awali kuna siku Tanzania ingepata mwakilishi wa ajabu sana kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika!
Kwa mfano katika michuano iliyopita ya kombe la Azam ambapo Namungo imepata nafasi ya kuiwakilisha nchi kulikua na uwezekano wa Sahare All Stars kubahatisha nafasi ile kama wangeitoa Namungo kwenye nusu fainalo
Huo sasa ni utaahira wamewabeba YANGA kwa lipi? Maana kanuni hizi zitaanza msimu huu ulioanza, maana yake mshindi wa pili wa msimu huu ulioanza ndy atawakilisha nchi au ushatabiri Yanga watakuwa washindi wa pili tena?
TFF wamechelewa sana kuchukua maamuzi hayo. Kwa utaratibu wa awali kuna siku Tanzania ingepata mwakilishi wa ajabu sana kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika!
Kwa mfano katika michuano iliyopita ya kombe la Azam ambapo Namungo imepata nafasi ya kuiwakilisha nchi kulikua na uwezekano wa Sahare All Stars kubahatisha nafasi ile kama wangeitoa Namungo kwenye nusu fainalo
Namungo ataenda kuliaibisha Taifa, timu mbovu na hawajajipanga kimataifa, wanachukua makapi ya simba na yanga, TFF ifanye tu maamuzi magumu tu wampe hiyo tiketi mshindi wa pili, hili linaweza isadia taifa kupata timu 4 msimu ujao kama timu zitafanikiwa kuingia robo fainal au makundi na pia TFF pia kupiga hela kwenye viingilio.TFF wamechelewa sana kuchukua maamuzi hayo. Kwa utaratibu wa awali kuna siku Tanzania ingepata mwakilishi wa ajabu sana kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika!
Kwa mfano katika michuano iliyopita ya kombe la Azam ambapo Namungo imepata nafasi ya kuiwakilisha nchi kulikua na uwezekano wa Sahare All Stars kubahatisha nafasi ile kama wangeitoa Namungo kwenye nusu fainalo
Shida ipo Mkuu. Michuano ya Azam mechi ni chache sana na ni mtoano. Katimu hata ka mtaani kanaweza kakajipanga kaka fluke kupenyapenya hadi kakafika fainali. Matokeo yake mnapeleka mwakilishi kwenye michuano ya kimataifa anakuja kupigwa kipigo cha mbwa mwizi ndani na njekwani sahare wana shida gan wasiwakilishe nchi