Bodi ya ligi yafanya mabadiliko

Sasa tatizo lipo wapi....mie nafikiri lengo la hilo kombe ni kuzipa fursa unknownnteams kuonekana...na pia suprise packages ndio zinaburudisha kwenye mpira
Halafu nchi inaenda kuwakilishwa na timu iliyo bahatisha bahatisha kushinda kwenye mechi chache za mtoano. Matokeo yake timu za nje zikipangiwa na timu za Tanzania zinafurahia kwa kua zitakua zimepata uchochoro wa kuvula kwa hatua nyingine huku sisi tukifurahia surprise package kwenye mechi zetu za ndani
 
Ndivyo ilivyokuwaga mbona! Kuna kipindi Yanga alichukuaga vyote, ikabidi mshindi wa pili Azam aende shirikishi! Mwaka huu kalia na umikia wake, eti wakabadili kanuni, hata ngao ya jamii! Tff na Kalia hovyo kabisa!
 

Unasahau kuangalia upande wa pili pia...kama timu ya ligi daraja la kwanza itashinda fa cup...that says alot about ligi kuu ya nchi. So either way timu za nje zitapiga timu yoyote.
 
 
Huu mbna ulikuwaga utaratibu wa zamani hku jipy apa wwanaona kbsa kuwa bila smba na yanga kushiriki michuano hyo hawatapat pesa za kiingilio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…