Bodi ya ligi yafanya mabadiliko

Bodi ya ligi yafanya mabadiliko

Sasa tatizo lipo wapi....mie nafikiri lengo la hilo kombe ni kuzipa fursa unknownnteams kuonekana...na pia suprise packages ndio zinaburudisha kwenye mpira
Halafu nchi inaenda kuwakilishwa na timu iliyo bahatisha bahatisha kushinda kwenye mechi chache za mtoano. Matokeo yake timu za nje zikipangiwa na timu za Tanzania zinafurahia kwa kua zitakua zimepata uchochoro wa kuvula kwa hatua nyingine huku sisi tukifurahia surprise package kwenye mechi zetu za ndani
 
TANZANIA [emoji1241]

- Bodi ya ligi Tanzania (TPLB) imebadilisha kanuni kuhusu kufuzu michuano ya kimataifa Shirikisho CAF.

- Awali ilikuwa iwapo bingwa wa ligi kuu akitwaa pia ubingwa wa (FA) mshindi wa (2) FA ndiye anaye iwakilisha nchi kwenye michuano ya Shirikisho CAF.

- Lakini kwa sasa itakuwa iwapo bingwa wa ligi kuu akitwaa ubingwa wa FA pia basi mshindi wa pili (2) wa ligi kuu ndiye ataiwakilisha nchi kwenye michuano ya kimataifa.yaani Shirikisho (CAF).

- Bodi imedai lengo la kubadili kanuni hiyo ni kuongeza ushindani kwenye ligi kama utaratibu huu ungetumika mwaka jana msimu huu Simba na Yanga wangewakilisha nchi kimataifa, nini maon yako juu ya utaratibu huu?
Ndivyo ilivyokuwaga mbona! Kuna kipindi Yanga alichukuaga vyote, ikabidi mshindi wa pili Azam aende shirikishi! Mwaka huu kalia na umikia wake, eti wakabadili kanuni, hata ngao ya jamii! Tff na Kalia hovyo kabisa!
 
Halafu nchi inaenda kuwakilishwa na timu iliyo bahatisha bahatisha kushinda kwenye mechi chache za mtoano. Matokeo yake timu za nje zikipangiwa na timu za Tanzania zinafurahia kwa kua zitakua zimepata uchochoro wa kuvula kwa hatua nyingine huku sisi tukifurahia surprise package kwenye mechi zetu za ndani

Unasahau kuangalia upande wa pili pia...kama timu ya ligi daraja la kwanza itashinda fa cup...that says alot about ligi kuu ya nchi. So either way timu za nje zitapiga timu yoyote.
 
TFF wamechelewa sana kuchukua maamuzi hayo. Kwa utaratibu wa awali kuna siku Tanzania ingepata mwakilishi wa ajabu sana kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika!

Kwa mfano katika michuano iliyopita ya kombe la Azam ambapo Namungo imepata nafasi ya kuiwakilisha nchi kulikua na uwezekano wa Sahare All Stars kubahatisha nafasi ile kama wangeitoa Namungo kwenye nusu fainalo
[/QUOTE
 
Huu mbna ulikuwaga utaratibu wa zamani hku jipy apa wwanaona kbsa kuwa bila smba na yanga kushiriki michuano hyo hawatapat pesa za kiingilio.
 
Sawa nyani FC.
Simba bila kufanyiwa hivi huwa hampati akili
tapatalk_1600360850316.jpeg
 
Back
Top Bottom