Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Simba inadeka sanaKufuatia kile ambacho kimetokea usiku wa wa jana kwa Simba SC kuzuiwa kufanya mazoezi katika Uwanja wa Mkapa, na kueleza hawatashiriki mchezo wa Dabi ya dhidi ya Yanga SC.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) Mzee Steven Mguto ambaye amefunguka kwamba kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi Kuu inakutana asubuhi hii kujadili malalamiko ya Simba.
View attachment 3263192
Credit: EFM Tanzania
Pia, Soma
Njooni huku Nanjilinjili tucheze kombe la kuku mkuu. 😀😀😀Simba wawaachie ligi yao,uhuni na upangaji matokeo waendelee nao.
Mambo hayaendi hivyo mababu, watu wamemwaga pesa zao pale halafu wewe simple tu ususie ligi. Ile ni Simba SC sio Mburahati FC.Simba wawaachie ligi yao,uhuni na upangaji matokeo waendelee nao.
Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.
Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.Simba ni wadhaifu mno, wanadeka ila KIPIGO KIPO PALEPALE
Wajinga aina yako ndiyo huleta mambo ya ccm kwenye jukwaa la michezo 💩💩💩Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.
Uhoga wa mechi😁Kufuatia kile ambacho kimetokea usiku wa wa jana kwa Simba SC kuzuiwa kufanya mazoezi katika Uwanja wa Mkapa, na kueleza hawatashiriki mchezo wa Dabi ya dhidi ya Yanga SC.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) Mzee Steven Mguto ambaye amefunguka kwamba kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi Kuu inakutana asubuhi hii kujadili malalamiko ya Simba.
View attachment 3263192
Credit: EFM Tanzania
Pia, Soma
Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.Wajinga aina yako ndiyo huleta mambo ya ccm kwenye jukwaa la michezo [emoji90][emoji90][emoji90]
Lucas Mwashambwa unaitwa huku uje ububujikwe na machoziWajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.
Mtaji wa ccm mjinga mwingine huyu, badala ku address tatizo lililotokea na hatua stahiki za kuchukua, yeye anasisitiza kuchezwa kwa mechi, kwa mana ya kwamba inajulikana wazi kua mechi hii hua inawanufaisha matumbo yao mana ndio siku ya kupiga hela..
NYIE WENYE AKILI SI MPO?? MBONA HAMUIUI?Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini. Bila CCM kua na wajinga wengi wa aina yako basi ingekua imeshakufa zamani. Hivyo ccm inawahitaji sana wajinga wengi aina yako ili uendelee ku-survive madarakani.
NYIE WENYE AKILI SI MPO?? MBONA HAMUIUI?Mtaji wa ccm mjinga mwingine huyu, badala ku address tatizo lililotokea na hatua stahiki za kuchukua, yeye anasisitiza kuchezwa kwa mechi, kwa mana ya kwamba inajulikana wazi kua mechi hii hua inawanufaisha matumbo yao mana ndio siku ya kupiga hela..
We mzee ndo maneno gani haya unaongea mbele ya watoto.