Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mmezoea kudekezwaSimba wawaachie ligi yao,uhuni na upangaji matokeo waendelee nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmezoea kudekezwaSimba wawaachie ligi yao,uhuni na upangaji matokeo waendelee nao.
Sasa unafanya ni humu kama sio unafiki kama mtoto wa kike sitaki nataka nyingi, upo kwenye thread zaidi ya kumi za michezo unafuata nini wakati majukwaa ya siasa yapo. Unakuwa kama wanafiki wanaochukia nyama ya nguruwe huku mchuzi wake ukiutamani.Mtaji wa ccm mjinga mwingine huyu, badala ku address tatizo lililotokea na hatua stahiki za kuchukua, yeye anasisitiza kuchezwa kwa mechi, kwa mana ya kwamba inajulikana wazi kua mechi hii hua inawanufaisha matumbo yao mana ndio siku ya kupiga hela..
Ng'ombe hiyo achana nae, hata hela ya chai hana kutwa kuilaumu ccmSasa unafanya ni humu kama sio unafiki kama mtoto wa kike sitaki nataka nyingi, upo kwenye thread zaidi ya kumi za michezo unafuata nini wakati majukwaa ya siasa yapo. Unakuwa kama wanafiki wanaochukia nyama ya nguruwe huku mchuzi wake ukiutamani.
Kuna majukwa kibao wewe mwenye ,shobo zako zimekufanya uchague jukwaa hili la michezo kila uzi upo si uende majukwaa ya siasa,na sio hizi sitaki na taka kama binti huku ukiwa na unafiki mwingi.
Simba na yanga zinaweza kukufanya ujikute unawadharau sana watu unaowaheshimu.Hata Simba nyamaume kajaa kwenye kumi na nane za wapumbavu.
Hakukuwa hata haja ya kikao maana wangeingia mtego huo ligi ingishia hapo. Hakuna mahali Kanuni inatuhusu timu kususia Mechi.
Nimemsikia mtangazaji akiuliza swali kwa mwenyekiti wa bodi kuwa kwavile Simba walishafanya mazoezi juzi kwenye uwanja huo hawakutakiwa kufanya tena mazoezi jana.Nimepitia mjadala huu kwa kina pamoja na kanuni ambazo wadau wameziwasilisha katika mitandao ya kijamii;
Maoni yangu ni kwamba kwa kuzingatia kanuni isemayo timu wageni wanayo haki ya kufanya mazoezi katika uwanja wa mwenyeji wa mchezo siku moja kabla ya mchezo, hili kwangu naona liko sawa. Siku moja kabla ya mchezo.
Mchezo huu kama nina kumbukumbu vizuri ni kwamba mchezo huo umepangwa kuchezwa leo tarehe 8/03/2025 saa moja na robo za usiku. Ni sawa. Simba walifika uwanjani siku ya tarehe 7/03/2025 saa moja za usiku, Wataalamu wa mahesabu kwa muda ambao Simba walifika uwanjani Je kulikua na masaa 24 kabla ya mcezo?
Yes...Simba na yanga zinaweza kukufanya ujikute unawadharau sana watu unaowaheshimu.Hata Simba nyamaume kajaa kwenye kumi na nane za wapumbavu.
Hilo jamaa kama janamke, lipo kama sengesenge tu. Kila kitu linadandia halafu linaongea upumbavu tuSasa unafanya ni humu kama sio unafiki kama mtoto wa kike sitaki nataka nyingi, upo kwenye thread zaidi ya kumi za michezo unafuata nini wakati majukwaa ya siasa yapo. Unakuwa kama wanafiki wanaochukia nyama ya nguruwe huku mchuzi wake ukiutamani.
Kuna majukwa kibao wewe mwenye ,shobo zako zimekufanya uchague jukwaa hili la michezo kila uzi upo si uende majukwaa ya siasa,na sio hizi sitaki na taka kama binti huku ukiwa na unafiki mwingi.
je ni mara ya kwanza watumishi wa Yanga kushambulia watu ? mbona ushabiki unawatoa akili kias hiki. mmepiga mpk mashabiki wenu , unashangaa nini kuhusu kuwazuia Simba kutoingia uwanja , Mashabiki wa Yanga wanaendeshwa na hisia kuliko akili
🤣🤣🤣aje abubujikwe na machozi uongoLucas Mwashambwa unaitwa huku uje ububujikwe na machozi
Hii nchi haina wasimamizi wa huu mpira, inasikitisha sana🚮🚮Kufuatia kile ambacho kimetokea usiku wa wa jana kwa Simba SC kuzuiwa kufanya mazoezi katika Uwanja wa Mkapa, na kueleza hawatashiriki mchezo wa Dabi ya dhidi ya Yanga SC.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) Mzee Steven Mguto ambaye amefunguka kwamba kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi Kuu inakutana asubuhi hii kujadili malalamiko ya Simba.
View attachment 3263192
Credit: EFM Tanzania
Pia, Soma
Wakuje kwa uwanja tuwanyoroshe hivi leo.
Unataka kusemq walipatikana kwa chafuzi kama waleee?Hii nchi haina wasimamizi wa huu mpira, inasikitisha sana🚮🚮
Serikali uchaguzi wa TFF inabidi ifanye maarifa tupate viongozi wanaojielewa na si hawa wenye mihemko ya usimba na uyanga🚮🚮
Hawa viongozi wa TFF waliingizwa kibabe na mzee Magu baada ya Mzee Malinzi kuundiwa zengwe, Mzee wa watu Magu mambo ya mpira alikuwa si kihivyo ila alipenda soka lipige hatua, sasa hawa waliwekwa na system yake ndiyo worst ever, kazi ku deal na fines na kufungia fungia wadau, zikija issues critical wanakimbia na kutia wadau hasara, hawa wadhamin sidhan kama wataendelea kuvumilia huu ujinga wa mpira wetu🚮🚮🚮Unataka kusemq walipatikana kwa chafuzi kama waleee?