DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
LuzazRatiba ya mashindano makubwa lazima itaathiri mashinda madogo
NBC PL inabidi ipishe yanga ijiandae vyema ilete kombe nyumbani na taifa lipate heshima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LuzazRatiba ya mashindano makubwa lazima itaathiri mashinda madogo
NBC PL inabidi ipishe yanga ijiandae vyema ilete kombe nyumbani na taifa lipate heshima
Nyani wa Luc Eymael mbona unapiga makelele utafikiri umekalia kitu chenye ncha butu?wewe mbumbumbu unataka iweje ? mechi zimepangwa tarehe moja na fainali
Kimsingi hii ligi yetu ya timu 16 ilitakiwa iwe inamalizika mwishoni mwa mwezi April. May, June na July mapumziko.Ulitaka iweje toa maoni yako
Kama unaweza kusoma alicho andika nyani bila shaka wewe ni nyani piaNyani wa Luc Eymael mbona unapiga makelele utafikiri umekalia kitu chenye ncha butu?
Sijasema mechi zisisogezwe . Nisema ingekuwa simba wangepiga kelele .Nini hujaelewa hapo we nyani wa Luc Eymael?
Siyo lazima awe nyani . Anaweza kuwa binadamu lakini akawa na utaalamu wa kutofasri lugha za nyani , Chura , ngiri , kenge n.k.Kama unaweza kusoma alicho andika nyani bila shaka wewe ni nyani pia