Bodi ya ligi yasogeza michezo mbele kuipisha Yanga kimataifa

wewe mbumbumbu unataka iweje ? mechi zimepangwa tarehe moja na fainali
Nyani wa Luc Eymael mbona unapiga makelele utafikiri umekalia kitu chenye ncha butu?
Sijasema mechi zisisogezwe . Nisema ingekuwa simba wangepiga kelele .Nini hujaelewa hapo we nyani wa Luc Eymael?
 
Malalamiko mengine kwenye huu uzi yanasababishwa na umbumbumbu tu wa baadhi ya watu kutofahamu kanuni za mpira wa miguu.

Mechi za mwisho lazima zote zichezwe muda sawa ili kuepusha upangaji wa matokeo.
 
Kama unaweza kusoma alicho andika nyani bila shaka wewe ni nyani pia
Siyo lazima awe nyani . Anaweza kuwa binadamu lakini akawa na utaalamu wa kutofasri lugha za nyani , Chura , ngiri , kenge n.k.

Anyway , usiwe mwepesi wa kuwa unapanic kwa vitu vidogo vidogo na kurusha matusi hovyo kwenye utani wa watani wa simba na Yanga .Tujifunze kuvumiliana na kutoa ushauri pale unapoona mtani kakengeuka lakini siyo matusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…