fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 739
- 1,032
Hata kichaa huwa anasema lakini asemayo ni pumba.Tukisema CCM ni CHAMA CHA MASHETANI muwe mnatuelewa jamani
Hao waliomwaga mafuta KWENYE maziwa ni watumishi wa serikali ya CCM. Hawa ni kama Jecha tu, ni makada wa chamaHata kichaa huwa anasema lakini asemayo ni pumba.
Hata Mbowe alisema watu wasiojulikana kumbe ni Konyagi.
Kwahiyo kusema sema wakati mwingine bila kuwaza ni sawa na ukichaa
Hakuna ushabiki maana hii ni taarifa ya ITV ya saa 12.00 asubuhi, Ijumaa tarehe 26.6.2020.Taarifa yako Kama imekaa kishabiki hivi? Kwanini yamwagiwe mafuta ya taa?
Waziri wa serikali inayoundwa na Ccm anazuia uovu alafu bado unaongea uongo.Tukisema CCM ni CHAMA CHA MASHETANI muwe mnatuelewa jamani
Mwenyekiti wako si ana faili pale Milembe?Hata kichaa huwa anasema lakini asemayo ni pumba.
Hata Mbowe alisema watu wasiojulikana kumbe ni Konyagi.
Kwahiyo kusema sema wakati mwingine bila kuwaza ni sawa na ukichaa
Hakuna ushabiki maana hii ni taarifa ya ITV ya saa 12.00 asubuhi, Ijumaa tarehe 26.6.2020.
Waziri wa Mifugo amefika Ubungo, sehemu yanapouzwa hayo maziwa saa 11.00 alfajiri, akakutana na akina mama wauza maziwa, kisha Msajili wa Bodi ya Maziwa, akiwa na Mtumishi mwenzake mmoja wakasema ni kweli wanamwagia mafuta ya taa kwenye maziwa na kuyatia rangi ili yasitumiwe na binadamu.
Kosa lililotajwa ni kwamba kuna kifungu cha sheria kinasema maziwa yauziwe kwenye 'container' ya aluminium.
Hawa wanauzia kwenye ndoo za plastic.
Watumiaji wote wa maziwa nchini tunahifadhi maziwa kwenye ndoo za plastic.
Kwa Bodi ya Maziwa, adhabu yetu ni kumwagiwa mafuta ya taa.
Tena yaliyonunuliwa kwa kodi zetu.
Kwa bahati nzuri Waziri Mpina amepiga marufuku tabia hiyo ya kuwahujumu hao akina mama Wajasiriamali.
Swali langu, hao Watumishi wa Bodi ya Maziwa, hawastahili kupelekwa Kisutu?
Hii nchi imerogwa hii.Watoe taarifa inayoeleweka na ufanunuzi yakinifu wananchi waweze kuwaelewa.
Kwamba maziwa yakiuziwa kwrnye ndoo za plastic yana madhara gani kwa binadamu? Siyo kutoa tu marufuku, watanzania wote waelewe!
Na kama kuna madhara mbona vifungashio vya hayo maziwa ni plastic na vimejaa kwenye Supermarkets na mafuka mengi tu ya rejareja? Je, TFDA wanalijua hilo na wanapita kwenye hzo supermarkets?
Kama kuna madhara basi Watanzania wengi sana watakuwa wamedhurika!!
Pure evil.......Tukisema CCM ni CHAMA CHA MASHETANI muwe mnatuelewa jamani
Mkuu Msajiri wa bodi ya mawaziwa ni wa ccm?,akili zenu huwa mwaziweka linapokuja swala la kutafakari kwa kina?Tukisema CCM ni CHAMA CHA MASHETANI muwe mnatuelewa jamani
Na shetani mkuu ni huyu hapa![emoji116]Tukisema CCM ni CHAMA CHA MASHETANI muwe mnatuelewa jamani
Tanzania tuna import maziwa yenye thamani ya zaidi ya bil 500 kila mwaka ikiwamo maziwa ya azam yakitokea India na kuwa reconstituted.ITV leo asubuhi imemuonyesha Waziri wa Mifugo, Mhe. Luhaga Mpina akitoa maelekezo ya kuzuia vitendo vya KISHETANI vinavyofanywa na Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania kuchafua maziwa ya ng'ombe yanayouzwa na Wajasiriamali wanawake katika eneo la Ubungo kwa kuyamwagia mafuta ya taa, au rangi ili yasifae kutumika.
Maziwa hayo huwa yanauzwa yakiwa katika ndoo safi za plastic zenye mifuniko.
Najiuliza: Matendo ya Watendaji wa Bodi ya Maziwa ya kutumia pesa za Umma kwa kununua mafuta ya taa na kwenda kuyamwaga juu ya maziwa na hivyo kuwahujumu Wajasiriamali, tena akina mama, hakina ujinai ndani yake?
Maziwa ya mgando ya Tanga Fresh na Asas yanauzwa madukani yakiwa katika vifungashio vya plastic.Watoe taarifa inayoeleweka na ufanunuzi yakinifu wananchi waweze kuwaelewa.
Kwamba maziwa yakiuziwa kwrnye ndoo za plastic yana madhara gani kwa binadamu? Siyo kutoa tu marufuku, watanzania wote waelewe!
Na kama kuna madhara mbona vifungashio vya hayo maziwa ni plastic na vimejaa kwenye Supermarkets na mafuka mengi tu ya rejareja? Je, TFDA wanalijua hilo na wanapita kwenye hzo supermarkets?
Kama kuna madhara basi Watanzania wengi sana watakuwa wamedhurika!!