Bodi ya Maziwa kuharibu maziwa ya ng'ombe kwa kuyamwagia mafuta ya taa

Changamoto iliyopo kwenye hizo bodi nyingi zilitengenezwa katika mfumo wa kutawala na siyo kufanya hizo innovation and capacity building.
 
Changamoto iliyopo kwenye hizo bodi nyingi zilitengenezwa katika mfumo wa kutawala na siyo kufanya hizo innovation and capacity building.
Uko sawa kabisa mkuu.
Bodi hizi zingehama kwenye kuwa regulatory authorities na kuwa majukumu ya kujenga platforms za kuruhusu innovation, bila shaka tungekuwa kwa haraka zaidi ukilinganisha na kasi ambayo inatufanya tuzidi kuwa nyuma.
Nchi kama Netherlands, Israel, New Zealand zikiunganishwa kwa pamoja zina eneo dogo sana. Isipokuwa kila nchi inafanya vema sana kwenye sekta ya maziwa (milk products).

Siku bodi ikipata watu wenye innovation DNA tutaona matokeo ya tofauti.
 
Kuna mwenyekiti wa bodi ya kituo Cha Afya yeye hushinda kituoni kutwa akiangalia watumishi wanavyofanya kazi Hadi usiku huwa ananyemelea kuona Nani yupo wapi na anafanya nn? Ni shida balaa
 
Haya mabodi yanasaidia nn!!? Kwenye maziwa yetu pendwa au TFDA na maafisa afya na maafisa Rishe Wana kazi gani
 
Hii taarifa haieleweki.. Why hiyo bodi imwagie mafuta ya taaa??? Je hao kina mama wanapewa hayo maziwa na bodi au waoo ndo wanaiuzia bodi maziwa???? Kama wanaiuzia bodi sasa bodi si ndo inapata hasaraa na kama Bodi inawauzia kina mama maziwa still naona kuna hasaraa maana watakataa kuyanunua may b mtu anieleweshe hapa
 
1st degree murder.
 
Labda ni masharti ya magharibi watz wasipate afya ya akili na mwili.
 
Hivi maziwa ya asas tunayokuta dukani huwa kwenye package za aluminium?
 
Hivi hizi bodi sijui za nyama, mara sijui maziwa ni nani alizobuni, mbona ni kama vijiwe vya kupeana ulaji tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…