libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Kampuni ya Meriadian Bet imefunga baadhi ya akaunti za wateja wao kwa kile wanacho dai kuwa ni uhakiki wa akaunti kutokana na ulaghai wa wateja wao. Cha kusikitisha ni kuwa wateja ambao tumefungiwa na tunapesa zetu kwenye akaunti hizo licha ya kutuma vitu wanavyo vitaka imechukua muda mrefu kufunguliwa akaunti zetu ila wale ambao hawana pesa kwenye akaunti zao wanaendelea kuingia na kutoka. Tunaomba Gaming Board mpige hodi kwenye kampuni hii ili wale wenye akaunti zao hazina kasoro waendelee kucheza michezo. Tunaomba Haki itendeke huwezi mcheleweshea mteja huduma zaidi ya masaa 78.