A
Anonymous
Guest
Mfumo wa ESS utumishi wamesindwa kuruhusu walionufaika na mkopo kuulipa kwa kuuzia bank madeni hayo.
Sijajua wanakwama wapi kiasi hicho wakat kabla ya mfumo walikua wanaruhusu.
Imekuwa ni kero kubwa kwetu watumishi ambao tulitamani kulipa madeni yao haraka.
Kila wakiulizwa wanasema ahadi za uongo walisema mwezi wa 3 mwaka 2026 wakasema mwezi wa 4 mpaka sasa hawana majibu ya uhakika.