KERO Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu hairuhusu wanufaika kuwalipa madeni kwa kuyauza

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mfumo wa ESS utumishi wamesindwa kuruhusu walionufaika na mkopo kuulipa kwa kuuzia bank madeni hayo.

Sijajua wanakwama wapi kiasi hicho wakat kabla ya mfumo walikua wanaruhusu.

Imekuwa ni kero kubwa kwetu watumishi ambao tulitamani kulipa madeni yao haraka.

Kila wakiulizwa wanasema ahadi za uongo walisema mwezi wa 3 mwaka 2026 wakasema mwezi wa 4 mpaka sasa hawana majibu ya uhakika.

 
Hiyo ni akili au ujinga?
Kwa nini upeleke benki deni lisilo na riba ukatozwe 17%?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…