Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Nitajie jina na namba ya shule nikuangalizie chap
Nimekutumia Inbox angalia chap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie jina na namba ya shule nikuangalizie chap
N kias gani mkuu kutuma hyo fomu kwa EMSWw unaishi wap kwan? ..... mbona uku dsm mm nimetoka kutuma jana na nilivyo fika nikagewa bahasha special ambayo mnje unaandika namba yako ya kidato cha nne na jina lako kamili kisha inapigwa stamp then unapewa control number ukalipie
Inategemea kama ukiwa dar ni 8000
Fanya verification ya cheti chake cha diploma TCUHabarini, naombeni kujua nina mdogo wangu amemlaiza diploma ya clinical officer mwaka jana, anataka kuingia chuo mwaka huu na cheti alishapata pale nacte na sasa tunakaa nae uku mkoani moshi, je kuna kitu kingine kitahitajika kwa baadae ambacho kitalazimu kufunga safari mpaka Nacte kwaajili ya kuomba nafasi ya chuo??, naama nikisoma uku naona wadau wanzungumzia kuhusu namba sijui za nacte za kuombea chuo nashindwa kuelewa, msaada tafadhali
Hiyo ni shida ya network yako tu mkuuNa kwa kwenye uzoefu niliuliza swali ninapoingiza School number kwenye Mfumo wa OLAS kinachojitokeza ni:-
School Name : No school found with number S5XXX
Nisaidieni kutatua hii changamoto
Hiyo ni shida ya network yako tu mkuu
Umesha verify birth certificate?
Mkuu me najaribu kuwapigia kila Sikhu ila simu haipokelewi na mda mwingine inakatika tu,Yah! Nimeshamaliza kila Kitu, nimewapigia HESLB baada ya muda mrefu wa kiwakosa hatimae leo niliwanyaka hewani nikamwelezea aliyepokea Simu alaniambia no problem kwani hali hiyo huwa inajitokeza, naweza kuproceed na mchakato kama kawaida.
Kwahiyo nimemaliza na nimeshadowload Fomu.
Sio kwamba wewe Upo loan board kitengo cha mawasiliano na unataka kumtambua jamaa kwa urahisi??? Nimewaza tu [emoji3] [emoji3]Mkuu me najaribu kuwapigia kila Sikhu ila simu haipokelewi na mda mwingine inakatika tu,
Nilikuwa nahitaji ufafanuzi kuhusu form ya ufadhiri wa masomo maana kuna baadhi ya vipengele vimebanwa sana hata sehemu ya kujaza haipo.
So kama utakuwa interested utawauliza kuhusu hilo then uje unitarifu hapa maana si unajua kila mtu ana kismart chake (maybe me nikaendelea bila kupokelewa ila we ukapokelewa)
Huku ukinisaidia kuhusu hilo sio mbaya ukaniachia na namba zao unazotumia kuwapigia.
Andika barua elezea makosa na masahihisho yake halafu wapelekee HESLB Ofisini kwao wao watarekebisha hayo makosaMe Nina swali vipii pale mtu unapoapply mkopo na ushaprint form alaf ndo ukaona kuna kasehemu amekosea plan B inakuwa Ni nn...msaada tafadhali
Namna ya kuedit hiki cheti ikoje au hii avn ndio inayotumika, hiki cheti hakitumiki ?.Naomba kujua,
Cheti changu diploma kuna 2.9
Na nacte wamenipa AVN ninaweza apply chuo degree?
Na he ninaweza kuedit niki cheti hardcopy nilimaliza 2016.
Pia mkopo naweza pata?
Mkuu me najaribu kuwapigia kila Sikhu ila simu haipokelewi na mda mwingine inakatika tu,
Nilikuwa nahitaji ufafanuzi kuhusu form ya ufadhiri wa masomo maana kuna baadhi ya vipengele vimebanwa sana hata sehemu ya kujaza haipo.
So kama utakuwa interested utawauliza kuhusu hilo then uje unitarifu hapa maana si unajua kila mtu ana kismart chake (maybe me nikaendelea bila kupokelewa ila we ukapokelewa)
Huku ukinisaidia kuhusu hilo sio mbaya ukaniachia na namba zao unazotumia kuwapigia.
Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa umekuwa kikwazo kikubwa. RITA wapo slow sana, wanachukua siku 15 kuthibitisha cheti tu. Kwa muda ulivyomfupi wanafunzi wengi watakosa fursa hii kwasababu ya Uhakiki wa RITA.Tuusome kwa makini ili tupate mikopo inshallah
======
Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji wa mkopo kwa njia ya mtandao utakuwa wazi kwa siku 40 kuanzia Jumanne, Julai 21, 2020 hadi Jumatatu, Agosti 31, 2020.
Tunawashauri wanafunzi wahitaji kutumia muda wa sasa hadi mfumo utakapofunguliwa (Julai 16, 2020 hadi Julai 21, 2020) kusoma ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo kwa Mwaka 2020/2021’ unaopatikana kuanzia sasa katika tovuti ya HESLB (www.heslb.go.tz) katika lugha za Kiswahili na Kiingereza.
Mwongozo huu unatoa maelekezo ya kina kuhusu sifa, utaratibu na vigezo vitakavyotumika katika uchambuzi wa upangaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2020/2021.
Aidha, baada ya kuusoma, tunasihi waombaji mikopo kuhakikisha wanaandaa nyaraka zote muhimu kama zinavyoelekezwa katika Mwongozo huo.
Imetolewa na:
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
DAR ES SALAAM
Alhamisi, Julai 16, 2020
Inaonesha kwamba, dirisha litafungwa Jumatatu then wataanza ku-sort majina ya waliokosea processes au viambatanisho muhimu wakati wa kuomba mkopo. Kisha wata-release hayo majina na kufungua dirisha kwa Mara nyingine ili kuwataka wafanye masahihisho.Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa umekuwa kikwazo kikubwa. RITA wapo slow sana, wanachukua siku 15 kuthibitisha cheti tu. Kwa muda ulivyomfupi wanafunzi wengi watakosa fursa hii kwasababu ya Uhakiki wa RITA.
Bodi ya Mikopo inapaswa kuongeza muda, siku 40 hazitoshi kutokana na madhaifu yaliyopo kwenye mifumo ya RITA.
Wacha tuoneInaonesha kwamba, dirisha litafungwa Jumatatu then wataanza ku-sort majina ya waliokosea processes au viambatanisho muhimu wakati wa kuomba mkopo. Kisha wata-release hayo majina na kufungua dirisha kwa Mara nyingine ili kuwataka wafanye masahihisho.
Hii itakuwa opportunity pia kwa wale ambao walichelewa kutuma maombi kama diploma fresh na wangine ambao wali-delay.
Inaonesha kwamba, dirisha litafungwa Jumatatu then wataanza ku-sort majina ya waliokosea processes au viambatanisho muhimu wakati wa kuomba mkopo. Kisha wata-release hayo majina na kufungua dirisha kwa Mara nyingine ili kuwataka wafanye masahihisho.
Hii itakuwa opportunity pia kwa wale ambao walichelewa kutuma maombi kama diploma fresh na wangine ambao wali-delay.
J3 ya tar.31/08/2020,ya wiki ijayo ndiyo aliimanisha...!J3 si Leo?