Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

Ww unaishi wap kwan? ..... mbona uku dsm mm nimetoka kutuma jana na nilivyo fika nikagewa bahasha special ambayo mnje unaandika namba yako ya kidato cha nne na jina lako kamili kisha inapigwa stamp then unapewa control number ukalipie
N kias gani mkuu kutuma hyo fomu kwa EMS

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Fanya verification ya cheti chake cha diploma TCU
 
Na kwa kwenye uzoefu niliuliza swali ninapoingiza School number kwenye Mfumo wa OLAS kinachojitokeza ni:-

School Name : No school found with number S5XXX

Nisaidieni kutatua hii changamoto
Hiyo ni shida ya network yako tu mkuu

Umesha verify birth certificate?
 
Hiyo ni shida ya network yako tu mkuu

Umesha verify birth certificate?

Yah! Nimeshamaliza kila Kitu, nimewapigia HESLB baada ya muda mrefu wa kiwakosa hatimae leo niliwanyaka hewani nikamwelezea aliyepokea Simu alaniambia no problem kwani hali hiyo huwa inajitokeza, naweza kuproceed na mchakato kama kawaida.
Kwahiyo nimemaliza na nimeshadowload Fomu.
 
But kwamimi niliyeingilia Fani za Watu napatashida sana! Itabidi niulize tena hivi!

Je, Fomu inayopelekwa Post kwenda HESLB ni ile ambayo Original iliyosainiwa na Mkopaji, Mdhamini, Kijiji na Wakili?
Au ukishascan ukurasa namba 2 na 5 ambao umesainiwa na kuapload sehemu ya Muombaji na Mdhamini baadae unaidowload na hiyo uliyoidownload kwa Mara ya pili ndiyo unaipeleka Posta?
 
Mkuu me najaribu kuwapigia kila Sikhu ila simu haipokelewi na mda mwingine inakatika tu,
Nilikuwa nahitaji ufafanuzi kuhusu form ya ufadhiri wa masomo maana kuna baadhi ya vipengele vimebanwa sana hata sehemu ya kujaza haipo.
So kama utakuwa interested utawauliza kuhusu hilo then uje unitarifu hapa maana si unajua kila mtu ana kismart chake (maybe me nikaendelea bila kupokelewa ila we ukapokelewa)
Huku ukinisaidia kuhusu hilo sio mbaya ukaniachia na namba zao unazotumia kuwapigia.
 
Sio kwamba wewe Upo loan board kitengo cha mawasiliano na unataka kumtambua jamaa kwa urahisi??? Nimewaza tu [emoji3] [emoji3]
 
Me Nina swali vipii pale mtu unapoapply mkopo na ushaprint form alaf ndo ukaona kuna kasehemu amekosea plan B inakuwa Ni nn...msaada tafadhali
Andika barua elezea makosa na masahihisho yake halafu wapelekee HESLB Ofisini kwao wao watarekebisha hayo makosa
 
Naomba kujua,
Cheti changu diploma kuna 2.9
Na nacte wamenipa AVN ninaweza apply chuo degree?
Na he ninaweza kuedit niki cheti hardcopy nilimaliza 2016.
Pia mkopo naweza pata?
 
Naomba kujua,
Cheti changu diploma kuna 2.9
Na nacte wamenipa AVN ninaweza apply chuo degree?
Na he ninaweza kuedit niki cheti hardcopy nilimaliza 2016.
Pia mkopo naweza pata?
Namna ya kuedit hiki cheti ikoje au hii avn ndio inayotumika, hiki cheti hakitumiki ?.
 
Wale wote wanaotaka kuomba mkopo (HESLB) Na wanaotaka kuomba vyuo mbali mbali.
- Nipo kuwasaidia wale wote wenye uhitaji wa ku apply mkopo na chuo. Au kuwaongoza hatua baada ya hatua jinsi ya ku apply.
- Vyote hivyo kuanzia mwanzo mpaka kukamilika nakufanyia kwa bei poa ya elfu tano tu (5,000/= tu)
- Huku nikikupatia na username pamoja na password zako kujihakikishia nilichofany na kuangalia account yko pale itakapohitajika.
- Huduma hii ni kwa wote/popote ulipo ndani ya Tanzania hii. Kila kitu kitaenda sawa. Maan nimepata maswali mengi kwa walio mikoani.
- Nitafute whatsapp au sms za kawaida kupitia namba hizi 0734131743.
- Vitu vyote vinavyohitajika wakati wa uombaji mkopo na chuo nitakueleza ukinitafuta kupitia namba izo apo.
NYOTE MNAKARIBISHWA
 

Ni kuwavizia tu mida za Asubuhi kama saa mbili hivi unaweza kuwanasa.

Mimi niliwapigia mida hizo nikaambiwa ipo Bize, nikajuwa sasahivi hii namba inatumika kuna Mtu anaongea huko, sasa hapa cha kufanya ni kuipiga Mfululizo ili akikata huyo anayeongea basi iingie Simu yangu.
Nikaanza kupiga bila kupumzika mpaka ikaita na Mdau akapokea.
 
Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa umekuwa kikwazo kikubwa. RITA wapo slow sana, wanachukua siku 15 kuthibitisha cheti tu. Kwa muda ulivyomfupi wanafunzi wengi watakosa fursa hii kwasababu ya Uhakiki wa RITA.

Bodi ya Mikopo inapaswa kuongeza muda, siku 40 hazitoshi kutokana na madhaifu yaliyopo kwenye mifumo ya RITA.
 
Inaonesha kwamba, dirisha litafungwa Jumatatu then wataanza ku-sort majina ya waliokosea processes au viambatanisho muhimu wakati wa kuomba mkopo. Kisha wata-release hayo majina na kufungua dirisha kwa Mara nyingine ili kuwataka wafanye masahihisho.
Hii itakuwa opportunity pia kwa wale ambao walichelewa kutuma maombi kama diploma fresh na wangine ambao wali-delay.
 
Wacha tuone
 
J3 si Leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…