The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,357
- 3,835
Tamu kutafuna ngumu kumeza
Jamii forum/Jukwaa la Elimu
we mwalimu acha mafumbo hatupo kwenye jukwaa la udaku!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamu kutafuna ngumu kumeza
Jamii forum/Jukwaa la Elimu
niliongea na mshikaji m1 wa bodi anasema mchakato bado ingawa kila kitu kipo standby! tcu, vyuo ndo vinasubiriwa tu ila ni lazima iwe ndani ya this two week!
ni2mie nambayake kama upo sirias,manake natafuta mawacliano na m2 yeyote frm lonbd.my number 0774203669
Wengine twasubir km ujio wa 2, na wafanye kwel2
thanks msomi
Mimi ndo kwanza natakiwa kuripot na sh lak3.6 huku bodi bado hajanitambua!! Ukitemwa ujilipie ukishindwa hela hairudishwi!!! Hapo ndo nimechoka kabisaaaaa!!
ww sasa unataka namba za HSLB ili ufanye nini au unataka kuhonga nenda kwny web yao kunanamba uchukue co mpaka utafutiwe jiongeze dogo me ningekupa yangu ila nahc utanisumbua