Bodi ya mikopo - elimu ya juu

Kuwa na subira.usiwe na wasiwasi mbona tcu uliwasubiri mpaka mwisho
 
niliongea na mshikaji m1 wa bodi anasema mchakato bado ingawa kila kitu kipo standby! tcu, vyuo ndo vinasubiriwa tu ila ni lazima iwe ndani ya this two week!

ni2mie nambayake kama upo sirias,manake natafuta mawacliano na m2 yeyote frm lonbd.my number 0774203669
 
ww sasa unataka namba za HSLB ili ufanye nini au unataka kuhonga nenda kwny web yao kunanamba uchukue co mpaka utafutiwe jiongeze dogo me ningekupa yangu ila nahc utanisumbua
 
kupata mkopo co guaranteed, so hata hiyo 50% inawezekana kabisa kutokuwepo. Usiamini sana ktk kitabu cha TCU, tuwe na subira tutajua tabia za bodi wakishatema dhamana.
 
Mimi ndo kwanza natakiwa kuripot na sh lak3.6 huku bodi bado hajanitambua!! Ukitemwa ujilipie ukishindwa hela hairudishwi!!! Hapo ndo nimechoka kabisaaaaa!!
 
Mwuce ndo kesho lekcha zinaanza rasmi huku wengine hawajui hatima yao wakiwa bado jakata!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…